Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 40,959
- 119,403
Sasa mkuu kama shemeji yako amekuwa ni chakula kiasi cha kuliwa na huyo jamaa, si na wewe umle tu!Nimeoa tena kwa ndoa. na wana watoto wa tatu.
Au mwenzetu huna njaa kama ya huyo jamaa anaye mla?
sema kwa hizi shobo za malaya wa jf mwamba lazma awe na uspesheli flani na mtu wa LG kwa sana..


Stanii Kaka...Huyu Mwamba ni bonge la Handsome,Na Sio Mbahiri huwa namuona anatoa tuu Iwe Offer au Hata Warembo wakimuomba anawapa na Sometimes huwa anasahau kabisa kama ameshatoa...Mpaka mashosti wa Warembo wanaambiana sio Alishakupa wewe
....Kiukweli He is Very Humbled,Gentleman!Hana Makuu
