Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,570
- 94,851
Nakuja nisubiriHebu Fungua PM.
Mkulano wa mashemeji huwa mtamu sana.
What a 2022 start!![]()
Nakuja nisubiriHebu Fungua PM.
Mkulano wa mashemeji huwa mtamu sana.
What a 2022 start!![]()
Na wewe umefunga pm ndo niniHebu Fungua PM.
Mkulano wa mashemeji huwa mtamu sana.
What a 2022 start!![]()
Mchape fimbo shemeji yako. Kwani unakaa Kwake?

ni fimbo ipi hiyo mkuu umeshauri itumikeeHahaha...Na wewe umefunga pm ndo nini

Cha kwanza tafuta ushahidi kwa gharama zozote zile kisha ficha ushahidi wako wafuate kivyao waambie wakizingua mwambie bro kaoa kimeoKuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.
Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.
Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?
Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Acha mambo hayo utaharibu familia za watu fanyaga mambo yakoKuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.
Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.
Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?
Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Bas tenaHahaha...
Kuna kiumbe atakuwa amelog in akafunga pm yangu![]()
Aisee umenikumbusha mbali sana. Natamani nikukumbuke... umebadili ID?

Hehehe kumbe bado unazo...si unajifanyaga umemuvu on una habari na mimi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Utasikia Hebu acha utani...Basi tunabadili story tunapiga Za Mpira
Kumbe jimbo lipo huru...
Kuna Jama yangu tunafanya nae kazi bwana...huwa anamzimika sana sana Khantwe
Ila Tatizo jamaa Hajui kuongea nadhani Akikutana na Khantwe anaweza shindwa mtongoza Walai!
Yaani ananihadithia yule dada wa JF anaitwa Khantwe mmmmmsss acha tuuu halafu anajushika kichwa(Paji la Uso) Kuonesha anajilaumu
Basi tunaoiga Story 2,3 yanaisha!
Siku moja Nikamzingua Unajua Nina Namba ya Khantwe...yuko Acha basiii halafu ananitolea Machoo anatabasam anacheka....Utasikia Hebu acha utani...Basi tunabadili story tunapiga Za Mpira
![]()

huyo rafiki yako anateseka bure mwambie aje nimpe picha yangu aondoe hiyo aliyonayo kichwani kwake😅😅😅 Wakati mwingine ni ngumu kuachana na MalayaMfuate jamaa mwambie nimejua unamla shemeji yangu. Baadae mfuate shemela mwambie ninajua unaliwa na fulani.
Wakiendelea basi jua blaza hana mke... unamwambia live aachane na huyo malaya
YamwageKuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.