Kashfa kubwa kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), waziri pitisha fagio la chuma

Melubo Letema

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
306
281
Ndg FILBERT BAYI ndiye Katibu Mkuu wa sasa wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, tangu achaguliwe kushika wadhifa huo ametumia nafasi yake katika KAMATI YA OLIMPIKI TANZANIA kupata zabuni zote, mikataba ya ugavi, na shughuli nyingine za manunuzi zinazodhaminiwa na Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki Duniani (IOC) kwa ajili yake mwenyewe, familia yake na marafiki wa karibu kinyume na Kanuni za Uadilifu ya IOC.

"RAIS NA KATIBU MKUU WA KAMATI YA OLIMPIKI TANZANIA WAMEONGOZA TOC TANGU 1/1/2002, HIYO NI ZAIDI YA MIAKA 20. 2002 WAKATI WANASHIKA MADARAKA HAPAKUWA NA SHULE MKUZA KIBAHA; JE NI LAZIMA UWE NA DIGIRII NGAPI UJUE KWAMBA FEDHA ZA IOC NDIZO ZIMETUMIKA KUJENGA HIYO SHULE?"

Katibu Mkuu huyo na familia yake wanamiliki Shule iliyopo Mkuza Kibaha iliyopewa jina la FILBERT BAYI INTERNATIONAL SCHOOLS, anapanga shughuli zote za TOC zinazofadhiliwa na IOC na zote zinafanyika katika Shule yake Mkuza Kibaha Mkoani Pwani.

Hii ina maana, malazi kwa washiriki katika shughuli zote kama vile chakula, usafiri, stationary na upishi wote ni mkataba na shule yake, (Milo inayotolewa na huduma za upishi ni kampuni inayomilikiwa na marehemu mke wake), hivyo viwango vyote vya kulipwa vinapangwa na mwenyewe kwa pesa alizonazo yeye mwenyewe zinazotoka IOC, hivyo kupitia vyombo vinavyomilikiwa na familia yake ananufaika moja kwa moja na wadhifa alionao kama Katibu Mkuu wa TOC.

Fikiria mpangilio huu;

1) Ndg Bayi anaamua ni shughuli gani itafanyika chini ya ufadhili wa IOC
2) Ndg Bayi huandaa hafla hiyo katika Shule yake iliyopo Mkuza Kibaha
3) Ndg Bayi na familia yake hutoa huduma zote zinazohitajika kwa shughuli hiyo (Milo, Ukumbi wa Mikutano na vifaa vingine, usafiri na malazi inapobidi)
4) Wote kwa pamoja; Bw Bayi mwenyewe, Rais wa TOC ndg Gulam Rashid na Makamu Rais wa TOC ndg Henry Tandau ndio wawezeshaji wa shughuli zote; mfano(Semina, kozi fupi, warsha n.k) na inasemekana wanajilipa mara kadhaa ya kiasi kinacholipwa kwa wanachama wengine ikiwa ni pamoja na Wajumbe wa Tume ya Wanariadha (Athletes Commission).

Malipo haya mara nyingi ni nyongeza ya kile wanachojilipa kwa mahitaji ya kila siku wakiwa viongozi wa TOC. Pia kuna swala hili la Olympic Solidarity na Athletes Support Funds, sisi Wanariadha wa Tanzania hatuna ufahamu wa kutosha jinsi hii inavyofanyika, lakini tunaelewa kuwa kuna fedha zinazotolewa na IOC kusaidia Olympians katika maandalizi ya Michezo ijayo ya Olimpiki. msaada unakwenda pamoja na WANACHUO kwa maana ya ufadhili wa kimasomo yaani (Schorlaships).

Taarifa za kuaminika ni kwamba IOC inafadhili Shule ya Filbert Bayi kama Kituo cha OLYMPAFRICA kwa maana inapaswa iwe mali ya serikali wala siyo taasisi ya mtu binafsi, mpango huo ni wa kuwafadhili Wanamichezo wa Kitanzania lakini ndg Filbert Bayi inasemekana kaifanya mali yake. Huu ni ukiukwaji mkubwa wa maadili ya IOC pia maadili ya Tanzania kwa mujibu wa Sheria na pia naweza kusema ni Uhujumu Uchumi.

Shule ya Filbert Bayi inatoza wanafunzi ada kubwa, wakati huko IOC wanapeleka ripoti kwamba wanafunzi wanapatiwa ufadhili, lakini cha kushangaza ni kwamba IOC ilishaweka kituo cha Olympafrica DOLE Zanzibar (japo usajili wake unadaiwa kuwa kwa jina la (GULAM RASHID) ambaye ni Rais wa TOC. Ndg Bayi inasemekana akafanya ujanja wa kusajili Shule yake kwenye program ya Olympafrica na hivyo kile cha Zanzibar kikibakia kuwa GOFU lisilotumika sababu program zote zinaelekezwa Kibaha.

Usajili wa Olympafrica shuleni kwa Bayi ulifanyika kwa taswira ya rushwa baada ya Msenegali ndg Alassane Thierno Diack (Mkurugenzi wa OlympAfrica) kuja Tanzania kisirisiri Tarehe 24 - 28 Aprili 2019 na kukamilisha usajili na kuondoka.

Baadae viongozi wakuu wa TOC ambao ni wanufaika wakuu wa ujanja ujanja uliodumu tangu January Mosi 2002 tangu Bayi, Gulam na wenzao walipochaguliwa.

Katika utangazaji inasemekana Wazazi wanaombwa kupeleka watoto wao huko kwa ahadi ya matarajio ya kuchaguliwa kufaidika na ufadhili wa masomo wa IOC, inasemekana IOC wanapokuja kwa ukaguzi kuna (MABANGO MAALUM) yanawekwa kwa muda ili IOC waamini kwamba shule inatekeleza masharti yao, ila wakaguzi wakiondoka mabango hayo yanaondolewa. Kwa kifupi kuna mambo mengi hayaendi vizuri pale Tanzania Olympic Committee. Inasemekana watu hawa ni wazuri sana wa kutoa taarifa nzuri, lakini kikubwa tunaamini ni uzushi, tunaambiwa kuna baadhi ya viongozi wa juu wa IOC wanaaminika kuwa ni washirika wa makampuni ya Filbert Bayi na ndiyo maana haogopi hata serikali.

Mambo ya kutisha ni pamoja na yafuatayo;

1) 2001 - 2004 - Athens Olympics Games, ($282,594).

2. 2005 - 2008 Beijing Olympics, ($293,893).

3. 2009 -2012, London Olympics , ($680,192).

4. 2013 -2016, Rio de Janeiro ($ 523,993)

5. 2017 - 2020, Tokyo Olympics ($586,132)

Jumla ($2,366,774) sawa na TSH. 5,443,580,200 Kwa rate ya (1$ =2300) zaidi ya (Tsh 5.4B) kwa miaka 19 ambapo Olympics TANO zimefanyika bila mafanikio ambayo ni - (Athens2004, Beijing 2008, London2012, Rio2016 na Tokyo2020), pesa zote hizo hazikutumiwa ipasavyo ndio maana Tanzania tunafeli

Programu ya Olympafrica inapokea pesa nyingi nje ya hizo za 2001 hadi 2020, kiasi ambacho bado tunafanyia utafiti.

Kuna ruzuku ya Wanariadha ijulikanayo kama (Athlete's Support Funds) hazijawahi kutolewa kwa Wanariadha na TOC wananufaika na uelewa mdogo wa Wanariadha.

Kuna ruzuku ya Covid-19 iliyotakiwa kupewa wanariadha kutokana na kuahirishwa kwa Tokyo Olympics pia hazijawahi kutolewa.

Kuna fursa za kimasomo (Scholarships) ambazo inasemekana zinatolewa kindugu ama kirafiki ama kwa njia ya rushwa.

Kuna taarifa kwamba milioni 27 za Olympafrica zilitumika kwa mradi wa kuku DOLE Zanzibar, mradi huo una utata.

Makamu Rais wa TOC (Henry Tandau) anadaiwa kutengeneza risiti za kuchonga za milioni 25 kufuatia semina ambazo washiriki walikuwa wanajilipia kila sessions na thesis book zao wenyewe.

Juzi January 20/2022 magazeti kadhaa (tunahifadhi majina) yaliripoti habari za miaka minne iliyopita kwamba Filbert Bayi, Henry Tandau na Irene Mwasanga wameteuliwa ANOCA; wakati hayo yalifanyika January 2018; pongezi hizo feki zilizotolewa na Rais wa TOC Gulam Rashid zililenga kupumbaza umma wa Watanzania.

Kuna Mashindano yanayodhaminiwa na OLYMPIC SOLIDARITY ambayo yalipaswa kuzunguka nchi nzima kama Michezo ya Olympics inavyozunguka katika miji na nchi tofauti; lakini haya ya Karatu yamefanyika kwa miaka 13 Karatu pekee ambapo ndiyo nyumbani alikozaliwa ndg FILBERT BAYI.

Swali la kujiuliza je Mtwara, Mwanza, Singida, Rukwa, Kagera, Kigoma, Dodoma na Dar es Salaam na Mikoa mingine haipaswi kutafuta vipaji kwa udhamini wa Olympic Solidarity?
 
Hakuna haja ya kumlaumu filbert bayi yeye ni mjasiriamali ameona fursa na ameitumia ipasavyo.....Tanzania kulikuwa hamna miundo mbinu ya michezo ya olimpiki yeye akajiongeza akajenga ingawa ilipaswa serikali ndio ijenge lakini serikali yenyewe ndio hii haiko competent wala hawakuona umuhimu wa kufanya ivo

Kikubwa filbert bayi aliona pengo ambalo halijazibwa akaamua kuliziba na sasa anakula matunda ya uwekezaji alioufanya hapaswi kulaumiwa kwa chochote anaepaswa kulalamikiwa ni serikali kwa kutotimiza wajibu wake.
 
Mwananchi yoyote akipata fursa ya kuiba anaiba..hapa wa kulaumiwa sio Bayi wala wenzake wa TOC bali serikali na vyombo vyake..kuanzia wizara na taasisi husika za usimamizi. Hata ikisemwa kuna watu serikalini wanahongwa mtu hawezi kubisha. Kwa mambo yote haya kwanini ukimya? Michezo haina hela kumbe watu wananeemeka na wahusika wa usimamizi wako kimya ikimaanisha nao ni wanufaika. Huu wizi wa mabilioni hawezi ishia TOC..Hii ni Mafia
Mambo mengi ya hovyo yanafanyika kwenye vyama vya michezo. Usimamizi mbovu wa BMT ndio chanzo. Kumbuka sakata la John Bayo BMT walikaa kimya mpaka Bayo alipoona haya na kuamua kujiuzulu kwa hiari yake na kuthibitisha kelele za mitandaoni zilikua za kweli na kuidhalilisha BMT ambayo iliamua kumlinda mpaka mwisho. Na kwenye hili la TOC mkiishoa Jamii Forum nawambia hakuna kitakachofanyika. BMT ndio chanzo cha mdororo wa michezo nchini. Kenya na Uganda walipopata dokezo tu kua kuna uchafu kwenye kamati zao za Olympic waliingilia kati na tazama sasa walivyopiga hatua. Kwenye hilii serikali na vyombo vyake haiwezi kukwepa lawama. Ndio wanaolea uvundo huu.
 
Vyama vingi vya michezo vimejaa watu wenye elimu ndogo ,wazee, etc mwaka Jana Kati ya michezo 33 ya Olympic Tanzania ilipeleka mchezo mmoja tu Tena nao walikuwa wanatembeza bakuli kuomba . Kwenye hizi marathon zinazofanyika dar waliweka box maalumu la kuchangisha kusaidia washiriki wa Olympic.. mashindano mengi ya dunia hasa Olympic huwa wanatoa funds.ndio nikawa najiuliza zinaenda wapi? Kumbe Kuna wajanja hawajui kula na vipofu....kamati imekaa kula pesa hata haindai timu..aibu na Jambo la ajabu kabisa...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Na ndiyo maana hakuna maendeleo ya kueleweka kwenye mchezo wa riadha, na haya mashindano ya Olympic kwa ujumla wake!

Miaka 20, bado Katibu Mkuu ni yeye tu! Ulafi wa aina gani huu!! Sasa si awaachie na wenzake wale? Maana Tanzania ni shamba la bibi. Kila anayepata sehemu ya kula, basi anakula npaka anavimbiwa.
 
Kwa Kweli Inawezekana!

ila Gidabuday ni M Barbaig au Datoga, na Bayi ndiye Wairaq.

Ila Hawa wangepata Vizuri, wangeweza kusogeza Riadha mbele
 
Hakuna haja ya kumlaumu filbert bayi yeye ni mjasiriamali ameona fursa na ameitumia ipasavyo.....Tanzania kulikuwa hamna miundo mbinu ya michezo ya olimpiki yeye akajiongeza akajenga ingawa ilipaswa serikali ndio ijenge lakini serikali yenyewe ndio hii haiko competent wala hawakuona umuhimu wa kufanya ivo

Kikubwa filbert bayi aliona pengo ambalo halijazibwa akaamua kuliziba na sasa anakula matunda ya uwekezaji alioufanya hapaswi kulaumiwa kwa chochote anaepaswa kulalamikiwa ni serikali kwa kutotimiza wajibu wake.
Na pengo limezibika.
 
Ndg FILBERT BAYI ndiye Katibu Mkuu wa sasa wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, tangu achaguliwe kushika wadhifa huo ametumia nafasi yake katika KAMATI YA OLIMPIKI TANZANIA kupata zabuni zote, mikataba ya ugavi, na shughuli nyingine za manunuzi zinazodhaminiwa na Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki Duniani (IOC) kwa ajili yake mwenyewe, familia yake na marafiki wa karibu kinyume na Kanuni za Uadilifu ya IOC.

"RAIS NA KATIBU MKUU WA KAMATI YA OLIMPIKI TANZANIA WAMEONGOZA TOC TANGU 1/1/2002, HIYO NI ZAIDI YA MIAKA 20. 2002 WAKATI WANASHIKA MADARAKA HAPAKUWA NA SHULE MKUZA KIBAHA; JE NI LAZIMA UWE NA DIGIRII NGAPI UJUE KWAMBA FEDHA ZA IOC NDIZO ZIMETUMIKA KUJENGA HIYO SHULE?"

Katibu Mkuu huyo na familia yake wanamiliki Shule iliyopo Mkuza Kibaha iliyopewa jina la FILBERT BAYI INTERNATIONAL SCHOOLS, anapanga shughuli zote za TOC zinazofadhiliwa na IOC na zote zinafanyika katika Shule yake Mkuza Kibaha Mkoani Pwani.

Hii ina maana, malazi kwa washiriki katika shughuli zote kama vile chakula, usafiri, stationary na upishi wote ni mkataba na shule yake, (Milo inayotolewa na huduma za upishi ni kampuni inayomilikiwa na marehemu mke wake), hivyo viwango vyote vya kulipwa vinapangwa na mwenyewe kwa pesa alizonazo yeye mwenyewe zinazotoka IOC, hivyo kupitia vyombo vinavyomilikiwa na familia yake ananufaika moja kwa moja na wadhifa alionao kama Katibu Mkuu wa TOC.

Fikiria mpangilio huu;

1) Ndg Bayi anaamua ni shughuli gani itafanyika chini ya ufadhili wa IOC
2) Ndg Bayi huandaa hafla hiyo katika Shule yake iliyopo Mkuza Kibaha
3) Ndg Bayi na familia yake hutoa huduma zote zinazohitajika kwa shughuli hiyo (Milo, Ukumbi wa Mikutano na vifaa vingine, usafiri na malazi inapobidi)
4) Wote kwa pamoja; Bw Bayi mwenyewe, Rais wa TOC ndg Gulam Rashid na Makamu Rais wa TOC ndg Henry Tandau ndio wawezeshaji wa shughuli zote; mfano(Semina, kozi fupi, warsha n.k) na inasemekana wanajilipa mara kadhaa ya kiasi kinacholipwa kwa wanachama wengine ikiwa ni pamoja na Wajumbe wa Tume ya Wanariadha (Athletes Commission).

Malipo haya mara nyingi ni nyongeza ya kile wanachojilipa kwa mahitaji ya kila siku wakiwa viongozi wa TOC. Pia kuna swala hili la Olympic Solidarity na Athletes Support Funds, sisi Wanariadha wa Tanzania hatuna ufahamu wa kutosha jinsi hii inavyofanyika, lakini tunaelewa kuwa kuna fedha zinazotolewa na IOC kusaidia Olympians katika maandalizi ya Michezo ijayo ya Olimpiki. msaada unakwenda pamoja na WANACHUO kwa maana ya ufadhili wa kimasomo yaani (Schorlaships).

Taarifa za kuaminika ni kwamba IOC inafadhili Shule ya Filbert Bayi kama Kituo cha OLYMPAFRICA kwa maana inapaswa iwe mali ya serikali wala siyo taasisi ya mtu binafsi, mpango huo ni wa kuwafadhili Wanamichezo wa Kitanzania lakini ndg Filbert Bayi inasemekana kaifanya mali yake. Huu ni ukiukwaji mkubwa wa maadili ya IOC pia maadili ya Tanzania kwa mujibu wa Sheria na pia naweza kusema ni Uhujumu Uchumi.

Shule ya Filbert Bayi inatoza wanafunzi ada kubwa, wakati huko IOC wanapeleka ripoti kwamba wanafunzi wanapatiwa ufadhili, lakini cha kushangaza ni kwamba IOC ilishaweka kituo cha Olympafrica DOLE Zanzibar (japo usajili wake unadaiwa kuwa kwa jina la (GULAM RASHID) ambaye ni Rais wa TOC. Ndg Bayi inasemekana akafanya ujanja wa kusajili Shule yake kwenye program ya Olympafrica na hivyo kile cha Zanzibar kikibakia kuwa GOFU lisilotumika sababu program zote zinaelekezwa Kibaha.

Usajili wa Olympafrica shuleni kwa Bayi ulifanyika kwa taswira ya rushwa baada ya Msenegali ndg Alassane Thierno Diack (Mkurugenzi wa OlympAfrica) kuja Tanzania kisirisiri Tarehe 24 - 28 Aprili 2019 na kukamilisha usajili na kuondoka.

Baadae viongozi wakuu wa TOC ambao ni wanufaika wakuu wa ujanja ujanja uliodumu tangu January Mosi 2002 tangu Bayi, Gulam na wenzao walipochaguliwa.

Katika utangazaji inasemekana Wazazi wanaombwa kupeleka watoto wao huko kwa ahadi ya matarajio ya kuchaguliwa kufaidika na ufadhili wa masomo wa IOC, inasemekana IOC wanapokuja kwa ukaguzi kuna (MABANGO MAALUM) yanawekwa kwa muda ili IOC waamini kwamba shule inatekeleza masharti yao, ila wakaguzi wakiondoka mabango hayo yanaondolewa. Kwa kifupi kuna mambo mengi hayaendi vizuri pale Tanzania Olympic Committee. Inasemekana watu hawa ni wazuri sana wa kutoa taarifa nzuri, lakini kikubwa tunaamini ni uzushi, tunaambiwa kuna baadhi ya viongozi wa juu wa IOC wanaaminika kuwa ni washirika wa makampuni ya Filbert Bayi na ndiyo maana haogopi hata serikali.

Mambo ya kutisha ni pamoja na yafuatayo;

1) 2001 - 2004 - Athens Olympics Games, ($282,594).

2. 2005 - 2008 Beijing Olympics, ($293,893).

3. 2009 -2012, London Olympics , ($680,192).

4. 2013 -2016, Rio de Janeiro ($ 523,993)

5. 2017 - 2020, Tokyo Olympics ($586,132)

Jumla ($2,366,774) sawa na TSH. 5,443,580,200 Kwa rate ya (1$ =2300) zaidi ya (Tsh 5.4B) kwa miaka 19 ambapo Olympics TANO zimefanyika bila mafanikio ambayo ni - (Athens2004, Beijing 2008, London2012, Rio2016 na Tokyo2020), pesa zote hizo hazikutumiwa ipasavyo ndio maana Tanzania tunafeli

Programu ya Olympafrica inapokea pesa nyingi nje ya hizo za 2001 hadi 2020, kiasi ambacho bado tunafanyia utafiti.

Kuna ruzuku ya Wanariadha ijulikanayo kama (Athlete's Support Funds) hazijawahi kutolewa kwa Wanariadha na TOC wananufaika na uelewa mdogo wa Wanariadha.

Kuna ruzuku ya Covid-19 iliyotakiwa kupewa wanariadha kutokana na kuahirishwa kwa Tokyo Olympics pia hazijawahi kutolewa.

Kuna fursa za kimasomo (Scholarships) ambazo inasemekana zinatolewa kindugu ama kirafiki ama kwa njia ya rushwa.

Kuna taarifa kwamba milioni 27 za Olympafrica zilitumika kwa mradi wa kuku DOLE Zanzibar, mradi huo una utata.

Makamu Rais wa TOC (Henry Tandau) anadaiwa kutengeneza risiti za kuchonga za milioni 25 kufuatia semina ambazo washiriki walikuwa wanajilipia kila sessions na thesis book zao wenyewe.

Juzi January 20/2022 magazeti kadhaa (tunahifadhi majina) yaliripoti habari za miaka minne iliyopita kwamba Filbert Bayi, Henry Tandau na Irene Mwasanga wameteuliwa ANOCA; wakati hayo yalifanyika January 2018; pongezi hizo feki zilizotolewa na Rais wa TOC Gulam Rashid zililenga kupumbaza umma wa Watanzania.

Kuna Mashindano yanayodhaminiwa na OLYMPIC SOLIDARITY ambayo yalipaswa kuzunguka nchi nzima kama Michezo ya Olympics inavyozunguka katika miji na nchi tofauti; lakini haya ya Karatu yamefanyika kwa miaka 13 Karatu pekee ambapo ndiyo nyumbani alikozaliwa ndg FILBERT BAYI.

Swali la kujiuliza je Mtwara, Mwanza, Singida, Rukwa, Kagera, Kigoma, Dodoma na Dar es Salaam na Mikoa mingine haipaswi kutafuta vipaji kwa udhamini wa Olympic Solidarity?
Kama ni kweli, serikali inapaswa kulaumiwa sana katika hili..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Mwananchi yoyote akipata fursa ya kuiba anaiba..hapa wa kulaumiwa sio Bayi wala wenzake wa TOC bali serikali na vyombo vyake..kuanzia wizara na taasisi husika za usimamizi. Hata ikisemwa kuna watu serikalini wanahongwa mtu hawezi kubisha. Kwa mambo yote haya kwanini ukimya? Michezo haina hela kumbe watu wananeemeka na wahusika wa usimamizi wako kimya ikimaanisha nao ni wanufaika. Huu wizi wa mabilioni hawezi ishia TOC..Hii ni Mafia
Mambo mengi ya hovyo yanafanyika kwenye vyama vya michezo. Usimamizi mbovu wa BMT ndio chanzo. Kumbuka sakata la John Bayo BMT walikaa kimya mpaka Bayo alipoona haya na kuamua kujiuzulu kwa hiari yake na kuthibitisha kelele za mitandaoni zilikua za kweli na kuidhalilisha BMT ambayo iliamua kumlinda mpaka mwisho. Na kwenye hili la TOC mkiishoa Jamii Forum nawambia hakuna kitakachofanyika. BMT ndio chanzo cha mdororo wa michezo nchini. Kenya na Uganda walipopata dokezo tu kua kuna uchafu kwenye kamati zao za Olympic waliingilia kati na tazama sasa walivyopiga hatua. Kwenye hilii serikali na vyombo vyake haiwezi kukwepa lawama. Ndio wanaolea uvundo huu.
kabisa BMT wasome alama za nyakati
 
Ndg FILBERT BAYI ndiye Katibu Mkuu wa sasa wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, tangu achaguliwe kushika wadhifa huo ametumia nafasi yake katika KAMATI YA OLIMPIKI TANZANIA kupata zabuni zote, mikataba ya ugavi, na shughuli nyingine za manunuzi zinazodhaminiwa na Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki Duniani (IOC) kwa ajili yake mwenyewe, familia yake na marafiki wa karibu kinyume na Kanuni za Uadilifu ya IOC.

"RAIS NA KATIBU MKUU WA KAMATI YA OLIMPIKI TANZANIA WAMEONGOZA TOC TANGU 1/1/2002, HIYO NI ZAIDI YA MIAKA 20. 2002 WAKATI WANASHIKA MADARAKA HAPAKUWA NA SHULE MKUZA KIBAHA; JE NI LAZIMA UWE NA DIGIRII NGAPI UJUE KWAMBA FEDHA ZA IOC NDIZO ZIMETUMIKA KUJENGA HIYO SHULE?"

Katibu Mkuu huyo na familia yake wanamiliki Shule iliyopo Mkuza Kibaha iliyopewa jina la FILBERT BAYI INTERNATIONAL SCHOOLS, anapanga shughuli zote za TOC zinazofadhiliwa na IOC na zote zinafanyika katika Shule yake Mkuza Kibaha Mkoani Pwani.

Hii ina maana, malazi kwa washiriki katika shughuli zote kama vile chakula, usafiri, stationary na upishi wote ni mkataba na shule yake, (Milo inayotolewa na huduma za upishi ni kampuni inayomilikiwa na marehemu mke wake), hivyo viwango vyote vya kulipwa vinapangwa na mwenyewe kwa pesa alizonazo yeye mwenyewe zinazotoka IOC, hivyo kupitia vyombo vinavyomilikiwa na familia yake ananufaika moja kwa moja na wadhifa alionao kama Katibu Mkuu wa TOC.

Fikiria mpangilio huu;

1) Ndg Bayi anaamua ni shughuli gani itafanyika chini ya ufadhili wa IOC
2) Ndg Bayi huandaa hafla hiyo katika Shule yake iliyopo Mkuza Kibaha
3) Ndg Bayi na familia yake hutoa huduma zote zinazohitajika kwa shughuli hiyo (Milo, Ukumbi wa Mikutano na vifaa vingine, usafiri na malazi inapobidi)
4) Wote kwa pamoja; Bw Bayi mwenyewe, Rais wa TOC ndg Gulam Rashid na Makamu Rais wa TOC ndg Henry Tandau ndio wawezeshaji wa shughuli zote; mfano(Semina, kozi fupi, warsha n.k) na inasemekana wanajilipa mara kadhaa ya kiasi kinacholipwa kwa wanachama wengine ikiwa ni pamoja na Wajumbe wa Tume ya Wanariadha (Athletes Commission).

Malipo haya mara nyingi ni nyongeza ya kile wanachojilipa kwa mahitaji ya kila siku wakiwa viongozi wa TOC. Pia kuna swala hili la Olympic Solidarity na Athletes Support Funds, sisi Wanariadha wa Tanzania hatuna ufahamu wa kutosha jinsi hii inavyofanyika, lakini tunaelewa kuwa kuna fedha zinazotolewa na IOC kusaidia Olympians katika maandalizi ya Michezo ijayo ya Olimpiki. msaada unakwenda pamoja na WANACHUO kwa maana ya ufadhili wa kimasomo yaani (Schorlaships).

Taarifa za kuaminika ni kwamba IOC inafadhili Shule ya Filbert Bayi kama Kituo cha OLYMPAFRICA kwa maana inapaswa iwe mali ya serikali wala siyo taasisi ya mtu binafsi, mpango huo ni wa kuwafadhili Wanamichezo wa Kitanzania lakini ndg Filbert Bayi inasemekana kaifanya mali yake. Huu ni ukiukwaji mkubwa wa maadili ya IOC pia maadili ya Tanzania kwa mujibu wa Sheria na pia naweza kusema ni Uhujumu Uchumi.

Shule ya Filbert Bayi inatoza wanafunzi ada kubwa, wakati huko IOC wanapeleka ripoti kwamba wanafunzi wanapatiwa ufadhili, lakini cha kushangaza ni kwamba IOC ilishaweka kituo cha Olympafrica DOLE Zanzibar (japo usajili wake unadaiwa kuwa kwa jina la (GULAM RASHID) ambaye ni Rais wa TOC. Ndg Bayi inasemekana akafanya ujanja wa kusajili Shule yake kwenye program ya Olympafrica na hivyo kile cha Zanzibar kikibakia kuwa GOFU lisilotumika sababu program zote zinaelekezwa Kibaha.

Usajili wa Olympafrica shuleni kwa Bayi ulifanyika kwa taswira ya rushwa baada ya Msenegali ndg Alassane Thierno Diack (Mkurugenzi wa OlympAfrica) kuja Tanzania kisirisiri Tarehe 24 - 28 Aprili 2019 na kukamilisha usajili na kuondoka.

Baadae viongozi wakuu wa TOC ambao ni wanufaika wakuu wa ujanja ujanja uliodumu tangu January Mosi 2002 tangu Bayi, Gulam na wenzao walipochaguliwa.

Katika utangazaji inasemekana Wazazi wanaombwa kupeleka watoto wao huko kwa ahadi ya matarajio ya kuchaguliwa kufaidika na ufadhili wa masomo wa IOC, inasemekana IOC wanapokuja kwa ukaguzi kuna (MABANGO MAALUM) yanawekwa kwa muda ili IOC waamini kwamba shule inatekeleza masharti yao, ila wakaguzi wakiondoka mabango hayo yanaondolewa. Kwa kifupi kuna mambo mengi hayaendi vizuri pale Tanzania Olympic Committee. Inasemekana watu hawa ni wazuri sana wa kutoa taarifa nzuri, lakini kikubwa tunaamini ni uzushi, tunaambiwa kuna baadhi ya viongozi wa juu wa IOC wanaaminika kuwa ni washirika wa makampuni ya Filbert Bayi na ndiyo maana haogopi hata serikali.

Mambo ya kutisha ni pamoja na yafuatayo;

1) 2001 - 2004 - Athens Olympics Games, ($282,594).

2. 2005 - 2008 Beijing Olympics, ($293,893).

3. 2009 -2012, London Olympics , ($680,192).

4. 2013 -2016, Rio de Janeiro ($ 523,993)

5. 2017 - 2020, Tokyo Olympics ($586,132)

Jumla ($2,366,774) sawa na TSH. 5,443,580,200 Kwa rate ya (1$ =2300) zaidi ya (Tsh 5.4B) kwa miaka 19 ambapo Olympics TANO zimefanyika bila mafanikio ambayo ni - (Athens2004, Beijing 2008, London2012, Rio2016 na Tokyo2020), pesa zote hizo hazikutumiwa ipasavyo ndio maana Tanzania tunafeli

Programu ya Olympafrica inapokea pesa nyingi nje ya hizo za 2001 hadi 2020, kiasi ambacho bado tunafanyia utafiti.

Kuna ruzuku ya Wanariadha ijulikanayo kama (Athlete's Support Funds) hazijawahi kutolewa kwa Wanariadha na TOC wananufaika na uelewa mdogo wa Wanariadha.

Kuna ruzuku ya Covid-19 iliyotakiwa kupewa wanariadha kutokana na kuahirishwa kwa Tokyo Olympics pia hazijawahi kutolewa.

Kuna fursa za kimasomo (Scholarships) ambazo inasemekana zinatolewa kindugu ama kirafiki ama kwa njia ya rushwa.

Kuna taarifa kwamba milioni 27 za Olympafrica zilitumika kwa mradi wa kuku DOLE Zanzibar, mradi huo una utata.

Makamu Rais wa TOC (Henry Tandau) anadaiwa kutengeneza risiti za kuchonga za milioni 25 kufuatia semina ambazo washiriki walikuwa wanajilipia kila sessions na thesis book zao wenyewe.

Juzi January 20/2022 magazeti kadhaa (tunahifadhi majina) yaliripoti habari za miaka minne iliyopita kwamba Filbert Bayi, Henry Tandau na Irene Mwasanga wameteuliwa ANOCA; wakati hayo yalifanyika January 2018; pongezi hizo feki zilizotolewa na Rais wa TOC Gulam Rashid zililenga kupumbaza umma wa Watanzania.

Kuna Mashindano yanayodhaminiwa na OLYMPIC SOLIDARITY ambayo yalipaswa kuzunguka nchi nzima kama Michezo ya Olympics inavyozunguka katika miji na nchi tofauti; lakini haya ya Karatu yamefanyika kwa miaka 13 Karatu pekee ambapo ndiyo nyumbani alikozaliwa ndg FILBERT BAYI.

Swali la kujiuliza je Mtwara, Mwanza, Singida, Rukwa, Kagera, Kigoma, Dodoma na Dar es Salaam na Mikoa mingine haipaswi kutafuta vipaji kwa udhamini wa Olympic Solidarity?
Wacha chuki. Wana-Olimpiki hatunaga hizo.
 
Back
Top Bottom