filbert bayi

Filbert Bayi Sanka (born June 23, 1953) is a Tanzanian former middle-distance runner who competed throughout the 1970s. He set the world records for 1500 metres in 1974 and the mile in 1975. He is still the 1500 m Commonwealth Games record holder.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    DOKEZO Kuna harufu ya ufisadi Kamati ya Olimpiki Tanzania

    Kamati ya Olympiki ya Kimataifa (IOC) hutoa ruzuku kwa wanachama wake wote duniani wajulikanao kama (NOC) yaani National Olympic Committees kwa kila nchi ambayo inashiriki mashindano ya Olimpiki ya majira ya Joto (Summer Olympic Games) na majira ya Baridi (Winter Olympic Games). Tanzania ni...
  2. MamaSamia2025

    Kwanini hadi leo Filbert Bayi anatajwa na kuheshimika sana kwenye riadha? Soma hapa

    Binafsi nimekuwa nikimfahamu Mzee Bayi toka nikiwa mdogo ila sikuweza kujua kiundani kwamba kwanini hadi leo dunia inamheshimu mno kwenye riadha wakati wapo wanariadha wengi wa enzi zake waliofanya vizuri na hatuwakumbuki. Serikali yetu inabidi ibadilishe mitaala ili historia za mashujaa wetu...
  3. Melubo Letema

    TOC ya Filbert BAYI na TANDAU Yakalia Kuti Kavu, Washindwa kujibu Tuhuma za Ufisadi

    RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 IKIWA ni zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) kutangaza kuitisha mkutano mkubwa wa waandishi wa habari kujibu tuhuma za ufisadi ambazo zimekuwa zikielekezwa zaidi kwa Katibu Mkuu, Filbert Bayi, kamati hiyo imeshindwa kutekeleza azma...
  4. Melubo Letema

    Filbert Bayi Adaiwa Kufisadi Fedha za Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Yeye Akanusha Asema Anachafuliwa

    KATIBU Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi anadaiwa kuhusika na ufisadi wa fedha zinazotolewa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) kwa ajili ya maendeleo ya mchezo wa riadha hapa nchini. Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog kutoka kwa wadau wa mchezo wa riadha walio...
  5. Melubo Letema

    Filbert Bayi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) na mikakati yake mibovu

    Mikakati mibovu ya Filbert Bayi yakamilika baada ya TOC kumtangaza Thomas Tlanka (kinyume na maamuzi ya Kamati Tendaji) kuwa kocha wa timu ya riadha ya Tokyo. Amekuwa akitumia ukabila kwenye teuzi zake au kuhamasisha ukabila ndani ya Riadha. Kwa Mfano, mtiririko huko hapa; Inawezekana vipi...
Back
Top Bottom