Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,515
- 4,230
You better keep you mouth shut, otherwise others may misunderstand
Azory Gwanda ni nani ukilinganisha na maisha ya watanzania milioni 60?? Sugu na hao wengine wanaumuhimu kuliko wanawake wajawazito wanaokufa kwa kukosa huduma bora za afya huko vijijini?
^masamaha? Unatetemeka-tetemeka nini sasa? Uongo unakukwaa na kukukwama, ama?You better keep you mouth shut, otherwise others may misunderstand...
Bado nazidi KUMSHUKURU na KUMHIMIDI sanaa Mwenyezi MUNGU kwa kuonyesha kwamba hakuna kama yeye kwa kulifyekelea mbali hilo dubwasha.
Hata shetani ana mawazo kama haya yako.Azory Gwanda ni nani ukilinganisha na maisha ya watanzania milioni 60? Sugu na hao wengine wanaumuhimu kuliko wanawake wajawazito wanaokufa kwa kukosa huduma bora za afya huko vijijini?
Kwani hizo huruma za afya walizipata swami ya tano?? Rejea takwimu za Vifo vya mama na mtoto kwa kipindi hicho acha kuropoka na kadegree kako ka kudesa kama unakoAzory Gwanda ni nani ukilinganisha na maisha ya watanzania milioni 60?? Sugu na hao wengine wanaumuhimu kuliko wanawake wajawazito wanaokufa kwa kukosa huduma bora za afya huko vijijini?