Kuna fahari gani ukipanda gari ya posta Mwenge?

Kuna fahari gani ukipanda gari ya posta Mwenge?

Kuna tv flat screen za chogo, radio za cd mp 3 na 4, zimefungwa ving'amuzi, Ac na marashi, dereva anatumia bb na konda galaxy 4, ndani kuna Wi-fi bure na cctv
 
Ni sawa na feri watu wa posta wana uwezo wakupanda gari lolote pale linamshusha posta lakini wanakaa kusubiri yale ya mwananyamala ! Nakugombania huwa nashangaa sana
 
Jaman kuna mada zingine n za kuongea mtaan .si za kuleta apa khaaaa.inakuhusu nn mtu akipanda gar analojisikia?jaman
 
eti kuna wakaka mahandsome na smart na wadada warembo ndo maana kunajaa sana mwingine aonekane anafanya kazi maeneo hayo kumbe anaishia makumbusho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom