COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,808
Tuma namba yako PM mkuunipo DAR nipe namba ya simu mkuuu
Tuma namba yako PM mkuunipo DAR nipe namba ya simu mkuuu
SI kwa kila mtu mkuuHakuna dawa ya kisukari mkuu acha kupotosha watu
Itakuletea shida ukitaka kuhakikisha Hilo Tazama choo kubwa baada ya kunywa uji wa ulezi haubadiliki unatoka vilevileWakuu naomba kujuzwa baada ya tatizo hili kisukari nimekuwa natumia uji wa ulezi kama breakfast, je lishe hiii ya ulezi haiwezi leta shida wakuuuuu?
Ndugu zangu wapendwa nawasalimu wote! Niliamua kwenda kwenye moja ya hospitali zetu hapa jijini kwa ajili ya kuangalia afya! Nilitaka kujuwa afya yangu kwa ujumla kuanzia pressure,sukari,ukimwi na n.k.
Baada ya kufanyiwa vipimo ikaoneka sukari yangu iko juu kuliko matarajio hivyo nikaambiwa nirudi kesho yake ili nipimwe tena kabla ya kula.
Hata hivyo sukari ilionekana kuwa 8.4 kabla ya kula. Doctor akanipatia dawa (vidonge vyeupe) kwa description ya kula 1*2, nimetumia siku moja kwa maana nilipata ushauri wa pili ya kuwa nijaribu ku control diet na kufanya mazoezi.
Hata hivyo kuna watu wameniambia naweza pia tibia hiyo hali kwa dawa za miti shamba. Sasa nauliza je kuna mtu anafahamu ya kama kuna dawa zinazosaidia ku control au kutibu tatizo hili?
Napenda kuwakilisha.
Hii ndio TIBA YA HAKIKA ya kisukari ONGEZA PIMA KILA asubuhi na 2hr baada ya chakulaMleta mada NAKUSHAURI TU KAMA UTAWEZA ASUBUHI PIGA MBOGAMBOGA ZA KUTOSHA NA SLICES 3 ZA MKATE WA BROWN.
MCHANA KULA MBOGA MBOGA 50 % UGALI WA MTAMA MWEUPE USIO KOBOLEWA 5%
UKISHINDWA KULA SAHANI KUBWA LA MATUNDA MCHANGANYIKO KASORO NANASI , NDIZI,TENDE NA MUWA, HALAFIU JIONI NDO UKALE UGALI LAKINI MUDA WA KULA NI KABLA YA SAA 2USIKU. Fanya hivyo japo kwa wiki 1 njoo na vipimo nikuelekeze dawa.
Sukari nyingine husababishwa na UTAPIAMLO!
Kama hujapata Dawa ya sukari nifuate inbox 3month umepona utaweza kufanya test ya Glycated haemoglobin am a yo huthibisha tofauti na FBG na RBG ambazo pia utaweza kupima wamepona wengi kazi ya dawa hii si Ru Ku restore Kongosho Pekee bali haha organ zingine hii sio supplement zile za business marketing hakuna ugonjwa usiotibika isipokuwa ulemavu na uzee,kwa maandishi usipopona utarudishiwa hela yako just only 3month to 6month kutegemea hali ya mtu lakini wengi wamepona kwa miezi 3 tu miezi mingine mitatu itakuwa kama maintenance dose ugonjwa uliongia taratibu utatoka taratibu time heals..HAKUNA NILIYEMPA AKARUDI KUSEMA HAJAPONA NA USHAHIDI WA MAWASILIANO YAO WOTE NINAONdugu zangu wapendwa nawasalimu wote! Niliamua kwenda kwenye moja ya hospitali zetu hapa jijini kwa ajili ya kuangalia afya! Nilitaka kujuwa afya yangu kwa ujumla kuanzia pressure,sukari,ukimwi na n.k.
Baada ya kufanyiwa vipimo ikaoneka sukari yangu iko juu kuliko matarajio hivyo nikaambiwa nirudi kesho yake ili nipimwe tena kabla ya kula.
Hata hivyo sukari ilionekana kuwa 8.4 kabla ya kula. Doctor akanipatia dawa (vidonge vyeupe) kwa description ya kula 1*2, nimetumia siku moja kwa maana nilipata ushauri wa pili ya kuwa nijaribu ku control diet na kufanya mazoezi.
Hata hivyo kuna watu wameniambia naweza pia tibia hiyo hali kwa dawa za miti shamba. Sasa nauliza je kuna mtu anafahamu ya kama kuna dawa zinazosaidia ku control au kutibu tatizo hili?
Napenda kuwakilisha.
Unapatikanaje mkuuKuna dawa za Asili ya kukutibu maradhi ya kisukari kwa muda wa miezi 3 utapona kabisa maradhi yako nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia maradhi yako.
Mama yako alimpata Mtibabu feki ndio maana hakuweza kupona maradhi yake. Hakuna maradhi aliyoyaumba Mungu yasikose kuwa na dawa yake kaka kama una imani niamini hivyo.La kama huna imani kaa kama ulivyo watu wanapona Maradhi ya Ukimwi, Saratani, Vidonda vya tumbo Hepatitis B Virus, Maradhi ya kiharusi aka Stroke itakuwa huo ugonjwa wa kisukari? hujampata mtibabu mzuri wa kuweza kumtibia Mama yako ndio maana hakuweza kupona maradhi yake ya kisukari.Kuwa makini sana na kila unachoambiwa, Mama aliambiwa ndani ya miezi 6 atapona kabisa na kuelekezwa kutofuata masharti hasa ya vyakula na kutopima kabisa sukari.
Mwisho wa siku hali ilikuwa mbaya zaidi, na Daktari alikuwa mkali sana alipofuatwa baada ya kuwa amepiga pesa ndefu. Hivyo za kuambiwa ongeza na za kwako chukua dawa lkn tahadhali na masharti ya vyakula muhimu sana kufuatwa
Naam mkuu.Kwanini mnakuwa na mzaha namna hii kwenye vitu serious, hv tungekuweka wewe ktk hali ya muhusika alafu mm nacoment huu upumbavu wako hapa ungejisikiaje, be wise na kama huna cha kuchangia wacha usiendekeze siasa kila mahali.
... No ya Simu ya Dr Mpaka PM? Weka Mambo Hadharani Watu wengi wenye Shida Wafaidike...!Pole, km hutojali, nione PM nikupatie namba ya mtaalamu wa magonjwa hayo akupatie Tiba. Yuko Mbeya kwa Sasa.
Can diabetes still be cured?Ndugu zangu wapendwa nawasalimu wote! Niliamua kwenda kwenye moja ya hospitali zetu hapa jijini kwa ajili ya kuangalia afya! Nilitaka kujuwa afya yangu kwa ujumla kuanzia pressure,sukari,ukimwi na n.k.