Kuna dawa ya kienyeji ya kutibu ugonjwa wa kisukari?

Alafu mkuu nenda uchunguze ID yng haihusiani na mambo ya waganga hivyo sina muda wa kudiscuss upuuzi unaotaka kuleta hapa kwaheri.
Safari njema mkuu huko uendako,but thread itaendelea kuwepo ili kuelimisha wengine kwenye jamii pana.
 
Ndugu zangu wapendwa nawasalimu wote! Niliamua kwenda kwenye moja ya hospitali zetu hapa jijini kwa ajili ya kuangalia afya! Nilitaka kujuwa afya yangu kwa ujumla kuanzia pressure,sukari,ukimwi na n.k.

Baada ya kufanyiwa vipimo ikaoneka sukari yangu iko juu kuliko matarajio hivyo nikaambiwa nirudi kesho yake ili nipimwe tena kabla ya kula.

Hata hivyo sukari ilionekana kuwa 8.4 kabla ya kula. Doctor akanipatia dawa (vidonge vyeupe) kwa description ya kula 1*2, nimetumia siku moja kwa maana nilipata ushauri wa pili ya kuwa nijaribu ku control diet na kufanya mazoezi.

Hata hivyo kuna watu wameniambia naweza pia tibia hiyo hali kwa dawa za miti shamba. Sasa nauliza je kuna mtu anafahamu ya kama kuna dawa zinazosaidia ku control au kutibu tatizo hili?

Napenda kuwakilisha.
Njoo Nicheki boss dawa ipo
 
Mfano dawa ipi imewashinda mabeberu harafu sangoma anatibu ? .

kkunasangoma mmoja anasema anatibu HIV ila yeye anatumia ARV za beberu
🤣 🤣 🤣Watu hudanganywa kwa staili tofauti tofauti mkuu, na bila kutumia maarifa huangamia kwa dawa za vichochoroni.Watu wanadanganya wengine kwamba mitishamba inatibu CORONA wakati wao wameweka mashine za kupumulia nyumban na dawa za kizungu wanatumia -Hii dunia inabd watu tujiongeze
 
nautumiaje Kaka huu mlonge,nimeona inazungumziwa sana kwa kweli
Binafsi huwa ninautumia. Nimeanika majani yake ndani (sio juani) hadi yakakauka, nikayasaga yakawa unga kabisa, nachukua kijiko kimoja asubuhi nakitia kwenye mchemsho wa maji na mchaichai/au tangawizi kisha nakunywa na jioni hivyo hivyo. Mbegu zake huwa nazimenya kisha natafuna tatu tatu kila siku.

JESUS IS LORD.
 
ok wacha niutafute Kaka,natakiwa kutumia continuous au Kuna dozi maalum?
 
ok wacha niutafute Kaka,natakiwa kutumia continuous au Kuna dozi maalum?
Hadi sukari ikiwa normal unaweza acha. Ila pia cha msingi, lifestyle lazima ibadilike kwa maana ya lishe na mazoezi ni muhimu sana.

Zaidi sana tumwamini Mungu aliyetuleta duniani kwa kusudi lake. Ambaye kimsingi ndiye mwenye hatima yetu.

YESU ANAOKOA.
 
Mimi ninaweza kumtibu kisukari alicho kuwa nacho kwa siku 90 aka miezi 3 na atapona kabisa maradhi yake.
Kisukari kinasababishwa na sumu iliyopo katika Kongoso aka Pancreatic ukiweza kusafisha kongosho umeweza kutibu maradhi ya kisukari. Hospitali Hakuna dawa ya kuwezakutibu maradhi ya Kisukari. Dawa zaasilizipo zakuweza kutibu maradhi ya kisukari ninazijuwa na watu wanatumia na kupona maradhi ya kisukari.

Naulizia dawa ya bawasiri mkuu.
 
Ndugu zangu wapendwa nawasalimu wote! Niliamua kwenda kwenye moja ya hospitali zetu hapa jijini kwa ajili ya kuangalia afya! Nilitaka kujuwa afya yangu kwa ujumla kuanzia pressure,sukari,ukimwi na n.k.

Baada ya kufanyiwa vipimo ikaoneka sukari yangu iko juu kuliko matarajio hivyo nikaambiwa nirudi kesho yake ili nipimwe tena kabla ya kula.

Hata hivyo sukari ilionekana kuwa 8.4 kabla ya kula. Doctor akanipatia dawa (vidonge vyeupe) kwa description ya kula 1*2, nimetumia siku moja kwa maana nilipata ushauri wa pili ya kuwa nijaribu ku control diet na kufanya mazoezi.

Hata hivyo kuna watu wameniambia naweza pia tibia hiyo hali kwa dawa za miti shamba. Sasa nauliza je kuna mtu anafahamu ya kama kuna dawa zinazosaidia ku control au kutibu tatizo hili?

Napenda kuwakilisha.
Ni pm nikupe dawa mkuu usipo pona nakurudishia mshiko wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom