Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika

Nchi hii sijui tuliumbwa tofauti au bado tuna hangover za UJAMAA za chama kimeshika utamu (hatamu) na zidumu fikra za mwenyekiti!!

South Africa Zuma anahangaika kutoa Finance Minister lakini anashindwa. Top three wa ANC wamemkingia kifua .............!! Marehemu Ahamed Kathrada kamlima Zuma mpaka kashindwa kuhudhuria mazishi!! Hapa kwetu thubutu. Infact, anaweza kuwabadilisha mawaziri wote any day, any time na wao wajua hilo ndiyo sababu hakuna wa kufungua mdomo. Si ulimuona Waziri Mwakyembe alivyoongea kuhusu sakata la yule mwimbaji mpaka alitia huruma kwa jinsi alivyokuwa anajigongagonga!!

Mimi nafikiri mpaka hiki kizazi chetu cha JKT kiondoke ndiyo hali itabadilika!!
 
Sababu uliyotumia serikali kufilisika haiko sawa!

Tanesco inadai wizara mbali mbali za serikali hata Zanzibar kwa muda mrefu, yamelimbikizwa toka kipindi cha Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Magulifu alichofanya ni kuwapa Tanesco nguvu ya kudai na hatimaye kukata umeme.

Hata siku za karibuni tumesikia akiwaambia Tanesco hata kama ikulu ina deni na hawalipi, wakatiwe umeme!

Tafuta lingine ili kujiridhirisha nafsi yako lakini kwa ili una budi kumpongeza Magufuli na serikali yake!
 
Nakumbuka Ile siku naiona Ile clip ya Bashite analia kanisani nili
 
Kwa weledi wako serikali inaweza kukata maji mpaka hospitalini ? Unapozungumzia awamu zote hujui kwamba hao viongozi wote ni zao la CCM.
Ripoti ya mkaguzi wa mahesabu imesema Tanesco inafanya kazi kwa hasara je mikataba mibovu hiyo si imeletwa na uongozi wa CCM.
Shame on CCM
 
Nakumbuka Ile siku naiona Ile clip ya Bashite akilia kanisani nilicheka sana pamoja na watu wote walio kuwa Wana iangalia walikuwa Wana cheka na kusema huo ndiyo mwisho wake,Sasa naona moto ume tugeukia watanzania na huu ndiyo wakati wa watanzania wa kulia na kusaga meno,Baba hato mjuwa Mwana wala Mwana hato mjuwa Mama....
 
Hii nchi mi naona inajiendea tu yenyewe haina rais
 
Watu wanaogopa kilichomtokea Nape hivi unadhani Bastola/Bunduki ni kitu cha mchezo mchezo?
 
Utakuwa na akili za kushikiwa wewe hadi kuandika pumba za kiasi hiki. Ripoti zote zinaonyesha jinsi uchumi wa nchi ulivyoyumba lakini Bashite wewe na akili zako finyu huelewi kabisa kinachoendelea. Ni hasara kubwa kwa Taifa kuwa na wapumbavu kama wewe wenye ZERO akili.

 
serikali ya awamu hii inaweza ikaiangamiza nchi yetu kimzaha mzaha tu hvhv,
 
Mamlaka za maji zinajiendesha kibiashara walipe bili ya umeme. Pesa za kugharamia washa, makongamano na semina zinapatikana, lakini za kulipia umeme serikali. Mleta uzi huu tumia akili basi
 
Mamlaka za maji zinajiendesha kibiashara walipe bili ya umeme. Pesa za kugharamia washa, makongamano na semina zinapatikana, lakini za kulipia umeme serikali. Mleta uzi huu tumia akili basi
Serikali makini hutoa huduma ya maji bure. Sisi serikali inataka kununua ndege kumi wakati huo hakuna dawa hakuna maji. Unategemea hizo ndege watapanda wafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…