Kuna Chuo wanajamiiana kuzidi IFM?

Kuna Chuo wanajamiiana kuzidi IFM?

Hao mabinti wakivuka 25 huko ndo utaona wanaanza kutulia ili watafute maboya wa kuwaoa baada ya kutumika sana.

20250311_034813.jpg
 
Siyo kujamiiana tu, wanafunzi wa chuo hicho wengi wana uraibu wa kamari.
Wanafunzi wana mikeka mingi ya kamari kuliko vitabu.
Huenda member KUNI anasoma hapo aliyeleta mada kama a cash out 2M ama avunge hadi mechi ya portugal na Uzbekistan apate 18 M

adriz de mbusii
 
Back
Top Bottom