de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,037
- 21,856
We live once mshangaz💀Punguza umalaya mjomba 😹
We live once mshangaz💀Punguza umalaya mjomba 😹
Eti wasomi gani hawa😂😂 unaufala mwingi sanaWadada wa IFM wanachakatwa aisee, serikali ya awamu ya 6 iingilie kati. Wasomi gani hawa?
Naomba mama yetu kipenzi toka kizimkazi aokoe hawa wake za watu watarajiwa.
Tulikuwa tunaambiwa kuna watoto wa mama Salma.
Ila yule mama naye alikuwa janja janja sana.
HahahaSiyo kujamiiana tu, wanafunzi wa chuo hicho wengi wana uraibu wa kamari.
Wanafunzi wana mikeka mingi ya kamari kuliko vitabu.
Mchawi!
Ndio ujue watu wana roho mbaya. Wengine gonjwa linawatesaIlikuwa ni kweli, wala sio saundi. UKIMWI umetajirisha wajanja kibao kaa pesa za wahisani. Kufa kufaana. 😊
Ili mradi hawavunji sheria.Wadada wa IFM wanachakatwa aisee, serikali ya awamu ya 6 iingilie kati. Wasomi gani hawa?
Naomba mama yetu kipenzi toka kizimkazi aokoe hawa wake za watu watarajiwa
Kuna HIV we jishaue..!! 😹We live once mshangaz💀
Limshangazi lilonona? Na jifanya kama sioni vile.Kuna HIV we jishaue..!! 😹
Lodge mkuuWanajamiiania wapi
Kawaida IFM niyakufunua nakufunuliwaHawa wamezidi kugegedwa mkuu