Kuna bonge La ubishi hapa wanajiografia wate

Kuna bonge La ubishi hapa wanajiografia wate

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,993
Kuna utofauti wa masaa Kati taifa moja na jingine mathalani Tanzania na Mozambique tumetofautiana kwa saa moja swali kwa nini mwaka mpya dunia yooooote sekunde Ile Ile kufumba na kufumbua kunakua mwaka mpya kote? Karibu we kama unasoma kiswahili na history hauruhusiwi maana sio fani yako. Asanteni.
 
Hiyo Geography yako ya nchi gani, kuna time zones 39 tofauti hivyo inachukua tofauti ya masaa 26 kwa nchi zote kuona mwaka mpya
Toa evidence hapa sio unakula na data bila evidence
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Usitudanganye....huwa tunatofautiana kwenye kusherekea hizo sherehe....Kuwa karibu na Tv yako kipindi hiki utaona
 
Ukitaka ubaini kuwa tofauti cku tukiwa tunasubiri mwaka mpya kaa karibu na luninga angalia CNN utagundua wapi wanawahi kusherekea mwaka
 
Tatizo lako mbishi HUTAKI kuamini Bila evidence Sasa tukupe evidence Gani.. NENDA wewe uka Google utaona
 
Australia ulivyowauliza kuhusu hili wamesemaje.......?....
 
Back
Top Bottom