Kuna bonge La ubishi hapa wanajiografia wate

Kuna bonge La ubishi hapa wanajiografia wate

Kuna utofauti wa masaa Kati taifa moja na jingine mathalani Tanzania na Mozambique tumetofautiana kwa saa moja swali kwa nini mwaka mpya dunia yooooote sekunde Ile Ile kufumba na kufumbua kunakua mwaka mpya kote? Karibu we kama unasoma kiswahili na history hauruhusiwi maana sio fani yako. Asanteni.

Magari mawili (yote ni make sawa, model sawa, engine capacity sawa, kila kitu sawa mpaka upya wa tairi, barabara kama runaway) yanaelekea Morogoro kutoka Dar es Salaam kwa mwendo uliosawa yaani constant speed yaani yote yanaenda kwenye 120km/h, na hii speed inafikiwa baada ya kilomita moja baada ya kuanza safari na vile kwenye kufika inaanza kushuka kabla ya kilomita moja kufika. Umbali (mfano) kati ya Morogoro na Dar es Salaam ni kilomita 120. La kwanza linaondoka saa 1:30 asubuhi halafu la pili linaondoka saa 2:00 asubuhi, je yatafika Morogoro saa ngapi kwa kila gari?

Jibu sahihi la swali hili ndio jibu sahihi la swali lako. Nimefanya hivi ili kupunguza waliosomea Kiswahili na Historia kama ulivyopendekeza.
 
Nilivyoona heading ya huu uzi nikaikimbilia...kumbe hakuna kitu . mtoa mda tofauti ipo kama ulivyoeleza wewe mwenyewe. Hatusherehekei kwa wakati mmoja, tunatofautiana. Inawezekana unaposikia tarehe moja anakuchanganya.
 
Sio kweli, mtoa hoja angalia tv siku ya 31 Dec utaona kuna nchi za Asia, wanasherekea mapema, angalia cnn au BBC
 
Kuna utofauti wa masaa Kati taifa moja na jingine mathalani Tanzania na Mozambique tumetofautiana kwa saa moja swali kwa nini mwaka mpya dunia yooooote sekunde Ile Ile kufumba na kufumbua kunakua mwaka mpya kote? Karibu we kama unasoma kiswahili na history hauruhusiwi maana sio fani yako. Asanteni.
How old are you son? Wewe na pals wako hapo mna Geography ya level gani? Yaani hata hili ni la kubishania? Yaani hata hujaona hata kwa live TVs Waasia wakishangilia mwaka mpya wakati sisi ndio saa nne usiku? Hujawahi kuamka asubuhi ya mwaka mpya ukawasha TV ukaona CNN wakionyesha West Coast ya Amerika ndio wana countdown kwenda new year? Basi mwaka huu fanya hivi ili ubishani hapo kijiweni kwenu uishe; ikifika saa tano asubuhi (EA Time) ya mwaka mpya (1st Jan), wewe angalia CNN watakua wakionyesha live jimbo la Alaska nao ndio watakua wanakaribisha mwaka mpya!!
 
Kusema kweli tunapishana maasa machache sana nasio siku nzima (24h)
 
angalia CCTV ...CNN na BBC usiku wa mwisho wa mwaka....usituletee maswali ya kijinga hapa. .inaonekana haujasoma aiseeee Au ulikuwa mburula
 
Kuna utofauti wa masaa Kati taifa moja na jingine mathalani Tanzania na Mozambique tumetofautiana kwa saa moja swali kwa nini mwaka mpya dunia yooooote sekunde Ile Ile kufumba na kufumbua kunakua mwaka mpya kote? Karibu we kama unasoma kiswahili na history hauruhusiwi maana sio fani yako. Asanteni.
siyo kwel ndugu
 
Duh huyu mtoa mada bonge ya kilazaaa.

Kaja na mikwala kibaaooo
 
Mwaka mpya,xmas e.t.c tunakuwa tofauti!.....rudi darasani upya mkuu!
 
Hapo kidogo kuna twatwizwo kiukweli tunasherekea tofauti kwa mana kwa mfano nchi ambazo zinakuwa usiku alafu kwetu asubuhi au mchana.inamana kuna tatizo hata la mabadiliko ya tarehe hapo sasa nikiangalia tu kwa haraka haraka sijawahi tangu nizaliwe kuona mwaka mpya unaingia mchana iwe kwetu au nnchi nyingine kwa sababu siku inabadilika saa 6 usiku..hapa kidogo kuna twatwizwo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] toa evidance toa evidance...mtoa mada, mwana JOGORAFIA....Umekurupuka.....kweli hata picha uoni...!! JITU bishi kama SH****A.....
 
Kuna nchi zinawahiii kuona mwaka mpyaaa zngne znafuata hyo Geography yko ya nchi zoote kuonaa mwaka mpyaaa ndani ya sekunde moja ulisomea wapiz? ??????? Acha ukilaza wew
 
Kuna utofauti wa masaa Kati taifa moja na jingine mathalani Tanzania na Mozambique tumetofautiana kwa saa moja swali kwa nini mwaka mpya dunia yooooote sekunde Ile Ile kufumba na kufumbua kunakua mwaka mpya kote? Karibu we kama unasoma kiswahili na history hauruhusiwi maana sio fani yako. Asanteni.
Wewe mwenyewe hujui unachokiandika bora hata hao wa Kiswahili na Historia yawezekana wakakusaidiq.

Rejea mstari wa Greenwich usome utaelewa swali lako
 
Back
Top Bottom