Landala
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 997
- 473
wadau nipo mitaa ya Ubungo muda huu wa saa saba usiku lakini maajabu ni kuwa kuna bonge la foleni kuanzia maeneo ya Shekilango hadi Kimara Baruti,foleni inayokuwepo asubuhi,mchana na jioni leo ipo gadi usiku wa manane,tatizo kubwa linalosabisha foleni ni kuwa ubungo mataa hakuna trafiki kwa hiyo magari hayaendi kwa utaratibu