kuna bonge la foleni Ubungo saa 7 usiku

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
wadau nipo mitaa ya Ubungo muda huu wa saa saba usiku lakini maajabu ni kuwa kuna bonge la foleni kuanzia maeneo ya Shekilango hadi Kimara Baruti,foleni inayokuwepo asubuhi,mchana na jioni leo ipo gadi usiku wa manane,tatizo kubwa linalosabisha foleni ni kuwa ubungo mataa hakuna trafiki kwa hiyo magari hayaendi kwa utaratibu
 
Ujinga wa Watanzania kuanzia kwa wakubwa hadi wadogo ndio unaotutesa....

Ngoja tuendelee kula matunda ya upuuzi/ushenzi wetu!
 
wadau nipo mitaa ya Ubungo muda huu wa saa saba usiku lakini maajabu ni kuwa kuna bonge la foleni kuanzia maeneo ya Shekilango hadi Kimara Baruti,foleni inayokuwepo asubuhi,mchana na jioni leo ipo gadi usiku wa manane,tatizo kubwa linalosabisha foleni ni kuwa ubungo mataa hakuna trafiki kwa hiyo magari hayaendi kwa utaratibu
Pole sana mkuu. Kwa kipindi hiki kama una uwezo hama maeneo ya Kimara mpaka barabara itakapokamilika
 
wadau nipo mitaa ya Ubungo muda huu wa saa saba usiku lakini maajabu ni kuwa kuna bonge la foleni kuanzia maeneo ya Shekilango hadi Kimara Baruti,foleni inayokuwepo asubuhi,mchana na jioni leo ipo gadi usiku wa manane,tatizo kubwa linalosabisha foleni ni kuwa ubungo mataa hakuna trafiki kwa hiyo magari hayaendi kwa utaratibu

'badilisha gari yako iwe bodaboda kwa dakika chache mkuu au upo kwenye daladala nini tafuta upenyo ndugu usiku saa hizi na mwenyewe umeshasema kuwa hakuna trafiki bado unashangaa sasa toka nduki...?'
 
Last edited by a moderator:
tatizo kubwa linalosabisha foleni ni kuwa ubungo mataa hakuna trafiki kwa hiyo magari hayaendi kwa utaratibu

Duh!! mkuu unataka hadi usiku wa manane kuwe na polisi waongoza magari!!!

Tatizo la huko kwa sasa ni matengenezo ya hiyo barabara halafu jumamosi huwa na ratiba ya malori yaendayo nje ya nchi yakitokea bandarini...
 
pole sana but usijar ndio maisha yetuu ...me mwenzio nipo home leo wikiend... baada ya kutembea sana kwa mguu toka ubungo to kimara ndani ya wiki nzima...
 
nami nashuhudia shida hapa ubungo mataa ni hatari. naona defender imepita inaelekea kimara.
 
kimara hali sio nzuriii na hadi strabag wamalize shughuli yao,wananchi watakuwa washateseka vya kutosha

kweli kabisa wakazi wa Kimara,Mbezi hadi Kibamba wanateseka sana na foleni kuanzia asubuhi,mchana,jioni hadi usiku kwa kweli cha moto tunakiona
 
wadau nipo mitaa ya Ubungo muda huu wa saa saba usiku lakini maajabu ni kuwa kuna bonge la foleni kuanzia maeneo ya Shekilango hadi Kimara Baruti,foleni inayokuwepo asubuhi,mchana na jioni leo ipo gadi usiku wa manane,tatizo kubwa linalosabisha foleni ni kuwa ubungo mataa hakuna trafiki kwa hiyo magari hayaendi kwa utaratibu

sa hizi sio sa saba mzee mada yako inaoneka imeletwa sa 12 asb
 
Rekebisha system time yako kwenye profile yako ya JF, utakuwa unatumi time zone tofauti na ya +3GMT

nchi itajengwa na wenye moyo. vijana wamejitolea lakini sisi wenye magari hatuwasikilizi ndo nimevuka.lakini
 
hatimaye nimefika nyumbani salama baada ya kusota kwenye foleni karibu saa 2
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom