Kuna binti alinipa namba ya simu ila naona hatoi ushirikiano wa mawasiliano

Umeshamuuliza mhusika kwanini hakupi ushirikiano unaotakiwa? Mambo mengine unatakiwa kutumia tu akili ya kujiongeza huenda hana mpango na wewe.
 
Tatizo ulifanya haraka kumcheki baada ya kupewa namba,ungekaa hata wk ungemcheki angekuwa active hadi kero,kisaikolojia alijua tu lazima ungemcheki siku hyò na ww kiherehere umemchek kweli
 
Tatizo ulifanya haraka kumcheki baada ya kupewa namba,ungekaa hata wk ungemcheki angekuwa active hadi kero,kisaikolojia alijua tu lazima ungemcheki siku hyò na ww kiherehere umemchek kweli
saiv nafanya ivo sema ukikaa muda mrefu pia ataona huna umuim ndo maana umevunga
 
Juzi bana katika harakati zangu za kutafuta mchele nikabahatika kukutana na mtoto mzuri kwenye daladala, stori za hapa na pale mara paaaap!

Nikaomba namba mtoto akanipa lakini naona ayupo ACTIVE shida itakuwa nini apo au anataka kubembelezwa?
Broo tafuta kama elfu 100,000

Kisha tafuta location kali mtoe out weekend moja na hakikisha hiyo siku kabla hajaja mtoe kama elfu 10 ya nauli na buku tano ya vocha
 
Tengeneza bond kwanza, utumie nini kutengeneza hiyo bond utajua wewe. Mtu yeyote hata mwanaume hawezi kuonesha ushirikiano sehemu ambayo haina manufaa kwake. Mpe sababu za kumfanya akamate simu yake kukutafuta.
 
Kwani ulipomuomba namba alikuhakikishia atajibu texts zako?

Na si ajabu umepewa namba za customer care DSTV huko..
 
Huna maneno matam yenye ushawishi
Chart zako zipo hivi 👇
Wewe; mambo vp
Yeye : poa
Wewe; unafanya nini saiv?
Yeye; nimelala
Wewe; niambie
Yeye ;!!!!!!?????
Wewe; mbona kimy
Yeye ; amna
Wewe: umelala na nani

Sasa kwa mtindo huo ndgu yangu maswali kibao kama anaomba kazi kwako nani atataka kuchart na mtu wa hivi.
 
Juzi bana katika harakati zangu za kutafuta mchele nikabahatika kukutana na mtoto mzuri kwenye daladala, stori za hapa na pale mara paaaap!

Nikaomba namba mtoto akanipa lakini naona ayupo ACTIVE shida itakuwa nini apo au anataka kubembelezwa?
umsuprize nayakutolea fasta na automatically atakuwa activated
 
Back
Top Bottom