Kuna biashara ni hasara tupu

Kuna biashara ni hasara tupu

Nimefanya kautafiti uchwara jijini Dodoma nimeona kuna mahotel makubwa makubwa na bar kubwa ila muda wote hakuna wateja.



yaani muda wote viti vipo wazi kuanzia asubuhi hadi jioni na ukiangalia gharama za uwekezaji inaonekana ni kubwa sana.




unakuta hotel au bar ya kisasa ina miundombinu ya maana ila hamnaga wateja. mara nyingi hasa jioni ndo nakuta wateja hawazidi hata kumi.

ni kwamba vyuma vimekaza au nini? na hao wamiliki waliowekeza mamilioni ya hela wanapataje faida?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana shida ya kurudisha faida yao saivi..target yao wamelenga 5 yrs huko WATU hawana presha mzeee wewe tu Ndo una presha...IGA UFE.
 
Very sorry my son.
Sehemu yoyote unayoona biashara inafanyika kwa hasara hasa inapokuwa ni eneo jipya kwa biashara hiyo, hupaswi kuona, kudhani ni hasara na hakuna wateja.

Ila linapewa muda maalum ambao ni kipindi cha mpito ambacho mfanyabiashara yeyote anafaham lazima uhupitie kabla ya kipindi cha mavuno kufika.

Kipindi hicho ndicho hicho ulichokiona wewe na kupelekea kuanzisha thread hii.

UMEELEWA ...?
asante sana kwa kunielewesha mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawana shida ya kurudisha faida yao saivi..target yao wamelenga 5 yrs huko WATU hawana presha mzeee wewe tu Ndo una presha...IGA UFE.
kuna biashara ya chakula nataka nifungue ila katika tafiti zangu nashuhudia mambo kama hayo nabaki najiuliza haka kamtaji kangu cha 2M si katapotea nianze upya??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanya kautafiti uchwara jijini Dodoma nimeona kuna mahotel makubwa makubwa na bar kubwa ila muda wote hakuna wateja.
Yaani muda wote viti vipo wazi kuanzia asubuhi hadi jioni na ukiangalia gharama za uwekezaji inaonekana ni kubwa sana.
Unakuta hotel au bar ya kisasa ina miundombinu ya maana ila hamnaga wateja. mara nyingi hasa jioni ndo nakuta wateja hawazidi hata kumi.
Ni kwamba vyuma vimekaza au nini? na hao wamiliki waliowekeza mamilioni ya hela wanapataje faida?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni UWEKEZAJI wa muda mrefu
Kuna siku mambo yatakuwa mazuri watapata wateja
 
Hao wengine unaweza kuta wamefanya uwekezaji wa muda mrefu, hawajali sana kupata faida ndani ya muda mfupi maana wana biashara zingine zinazowaingizia faida kubwa au wana mitaji mikubwa
 
Write your reply...ukitaka Kilima watu wanavyo Ana Bar Funguo kipub hata Cha kontena wema watoto weupe uone Viatu vingine huwa havihitaji uchawi etii
 
Back
Top Bottom