Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,254
🤣🤣🤣🙌Hamu ya kuliwa shimoni ? Hizo zinasababisha muwasho kwenye mashimo mama
🤣🤣🤣🙌Hamu ya kuliwa shimoni ? Hizo zinasababisha muwasho kwenye mashimo mama
Pepsi n tamu lkn fanta n balaa!!!Wanaume ndio wanaoongoza kunywa Pepsi!
Kwani haujawahi kusikia au kusoma bidhaa imeandikwa 'for men' au 'for women' au 'unisex'?Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa?
Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!
Kumbe☺️Bingwa
Bingwa zipo mbona ziko sokoni,zimerudi aisee,huku kwenye baa za mwanza huwa naziona
Haaahaa 😊 jamaa unafanya technology kubwaaa.. natural beer🍺Huku mwanza kuna banana za pawa na ndume a.k.a myumbo wa kutosha, kuna jamaa yangu ni mwanajeshi tabora msange huwa namtumia yaani nanunua kreti kama nne za pawa afu nafungua chupa zote na kisha nazimimina kwenye chupa la maji la Kilimanjaro yale ya litre 18 kisha namtumia kwenye basi.Anasema banana pawa ni nzuri sana maana zinalewesha haraka na hazina hangover na zaidi haziathiri figo na maini.MAUA YAO WAPEWE WAZALISHAJI WA BANANA ZA PAWA NA NDUME ZA MWANZA
Tukusogezee utuanzishie ulewe haraka na wewe kama unatujali sana🙂Si ndo nzuri Sasa jmn mnalewa haraka😀
Numbero uno!!Safari lager beer ya kiume
🤣🤣🤣Mm natumia juis tu nimewakadiria nyieTukusogezee utuanzishie ulewe haraka na wewe kama unatujali sana🙂
MhhhhSasa kidume utakunywaje Savana, flying fish na reds
Wakati unajua hizo bia zinaongeza nyege na muwasho Kwa mademu.
Mtakuja mfanyiwe vibaya
Nina bia zako nyingi zinawaongea washa washa Kunako🤣Mhhhh
hebu nitag kwenye huo uziKwenye uzi wa wanywaji na walevi
hizi bia toka wameweka lebo ya safari cup zimekua kali mno
tunaita gumsKule Kanda ya kusini Kuna bia inaitwa bingwa,Ina alcohol 7,nadhani katika larger zote hii ndo ya kiume!!!
Kitimoto tafadhali iwe rost
Tafuta na usome kitabu kinachoitwa THE MANIPULATED MAN. Kitabu hicho kitakueleza vizuri kwanini kazi ngumu ni za wanaume (Na Bible imesema tutakula kwa jasho) na vitu vitamu vitamu ni vya wanawake. Kwa kifupi mwanamke amejiweka kwenye position ambayo anajifanya dhaifu na mwanaume analazimika kumhudumia maisha yote. Vitu vizuri ni vya wanawake na vibaya vibaya ni vya wanaume. Ukifa unatakiwa umwache mwanamke wako vizuri asipate shida ya maisha (sasa utatuachaje na wanao? 😊😊), yeye hajiulizi akifa anakuachaje. Kwa kifupi mwanaume amekuwa manipulated akawekwa angle ambayo kuchomoka ni ngumu sana. Ukiwa mwanaume unatakiwa unywe bia ya safari chunguuuuuu, halafu mwanamke anywe savanna, redds, flying fish, au Smirnoff ice. Ukinywa Saint Anna eti ni ya kike halafu Robertson ni sawa kunywewa na mwanaume. Stupid! Formula ya kutengeneza hivyo vinywaji viwili ni ile ile. Eti mwanaume unywe konyagi, kvant na matakataka mengine ya kuunguza maini, mwanamke anywe vitu safi. NI UJINGA TU. Walau Ulaya na marekani wameshaanza kutoka kwenye hizo mindset!Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa?
Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!