Tafuta na usome kitabu kinachoitwa THE MANIPULATED MAN. Kitabu hicho kitakueleza vizuri kwanini kazi ngumu ni za wanaume (Na Bible imesema tutakula kwa jasho) na vitu vitamu vitamu ni vya wanawake. Kwa kifupi mwanamke amejiweka kwenye position ambayo anajifanya dhaifu na mwanaume analazimika kumhudumia maisha yote. Vitu vizuri ni vya wanawake na vibaya vibaya ni vya wanaume. Ukifa unatakiwa umwache mwanamke wako vizuri asipate shida ya maisha (sasa utatuachaje na wanao? 😊😊), yeye hajiulizi akifa anakuachaje. Kwa kifupi mwanaume amekuwa manipulated akawekwa angle ambayo kuchomoka ni ngumu sana. Ukiwa mwanaume unatakiwa unywe bia ya safari chunguuuuuu, halafu mwanamke anywe savanna, redds, flying fish, au Smirnoff ice. Ukinywa Saint Anna eti ni ya kike halafu Robertson ni sawa kunywewa na mwanaume. Stupid! Formula ya kutengeneza hivyo vinywaji viwili ni ile ile. Eti mwanaume unywe konyagi, kvant na matakataka mengine ya kuunguza maini, mwanamke anywe vitu safi. NI UJINGA TU. Walau Ulaya na marekani wameshaanza kutoka kwenye hizo mindset!