Unavyojiamini sasa. Wewe ndo mduanzi. Kuna bata 12Acha uduanzi bata wapo 9
umechemsha, mstari wa kwanza kwenda kulia huyo bata aliye katikati wako wawili angalia midomo
Usiangalie midomo. Angalia jichoumechemsha, mstari wa kwanza kwenda kulia huyo bata aliye katikati wako wawili angalia midomo
hata hapa umekoseaSorry sio 12 ni 13
jicho utaliona vipi wakati limezibwa? angalia midomoUsiangalie midomo. Angalia jicho
Ungekuwa karibu ningekuja nilionyeshejicho utaliona vipi wakati limezibwa? angalia midomo
Upo sahihi mkuuKila line (horizontal) ina bata watano. So jumla ni 15.
Wrong answerThe correct answer ni 14...
We amkia kwa dokta wa macho kesho. Mi pia sijui wapo wangapi ila ni zaidi ya tisa teh teh.....Nimewaona tisa tu kwa kweli.
Kwa kweli Mkuu. LolWe amkia kwa dokta wa macho kesho. Mi pia sijui wapo wangapi ila ni zaidi ya tisa teh teh.....
Unavyojiamini sasa. Wewe ndo mduanzi. Kuna bata 12
Nadhani upo sahihi. Mwenyewe nilidakwa na 12, baada ya kuangalia midomo ya bata nikagunfua kitu!Jibu linaweza kua 15
15Nimewaona tisa tu kwa kweli.