Kuna baadhi ya wanaume ni mentally weak?

Kuna baadhi ya wanaume ni mentally weak?

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,945
Reaction score
4,827
Inakuwaje,

Kuna jambo huwa linanishangaza kwa baadhi ya sisi sisi wanaume.
Kwanza principle ambayo ipo by nature wanaume wenyew huwa tunapeana priority katika mambo mengi over females ( hasa hawa ke wa dot com).

Hii ni kwasababu sisi ndio wafanyaji wa mengi katika maisha (majukumu) hivyo tunapeana thamani kwa kuthamini uwajibikaji wetu.

Women are mentally weak hata vitabu vya dini vinatufahamisha na ndio maana hata tukaambiwa tuwe viongozi kwao.Ndio maana ni simple ukigumiana na mdada akiwa mahali fulani au ofisi ya umma akawa ni mwenye kujisikia, kujiona licha ya kuwa hukumfuata yeye pale (sawa tuwavumilie ndio udhaifu wao huo)
Ajabu inatokea pigo hizi tukiwa nazo sisi me

Unakuta umeenda zako ofisi fulani unashida fulani uhudumiwe uende zako unakutana mshikaji ana pigo hizi wachekecheke na demu aliopo pale,(anausahau uanaume wake anaongozwa na ke) mara yuko nae anachatichati mapozi kama yote.

Ile seriousness na mteja haipo
Hii ipoje hii, Je Kuna baadhi ya wanaume nao are mentally weak?
 
Kwa mtazamo wangu pengine sio weakness, ila Kuna baadhi ya watu huwa wanataka uwepo wao au uhitaji wao uonekane, wengine ni kuchelewesha mambo au kuweka uzibe kwenye jambo fulani, ni sawa na na lecturer kukamata wanafunzi kwenye supp huwa wanajiona na wanapenda kusifiwa kwa hilo
 
Inakuwaje

Kuna jambo huwa linanishangaza kwa baadhi ya sisi sisi wanaume
Kwanza principle ambayo ipo by nature wanaume wenyew huwa tunapeana priority katika mambo mengi over females ( hasa hawa ke wa dot com)
Hii ni kwasababu sisi ndio wafanyaji wa mengi katika maisha (majukumu) hivyo tunapeana thamani kwa kuthamini uwajibikaji wetu
Women are mentally weak hata vitabu vya dini vinatufahamisha na ndio maana hata tukaambiwa tuwe viongozi kwao
Ndio maana ni simple ukigumiana na mdada akiwa mahali fulani au ofisi ya umma akawa ni mwenye kujisikia, kujiona licha ya kuwa hukumfuata yeye pale (sawa tuwavumilie ndio udhaifu wao huo)
Ajabu inatokea pigo hizi tukiwa nazo sisi me

Unakuta umeenda zako ofisi fulani unashida fulani uhudumiwe uende zako unakutana mshikaji ana pigo hizi wachekecheke na demu aliopo pale
(anausahau uanaume wake anaongozwa na ke) mara yuko nae anachatichati mapozi kama yote
Ile seriousness na mteja haipo
Hii ipoje hii

Je Kuna baadhi ya wanaume nao are mentally weak?
Hivi unajua maana ya "mentally weak" au unaongea tu hujui manaake, women are just highly emotional not mentaly weak.
 
Kila mtu duniani Yuko tofauti,hakuna watu wanaofanana hata kidogo..hivyo usitegemee mtu atakusaidia kisa jinsia yake ni sawa na Yako,jifunze kupunguza matarajio kutoka Kwa watu wengine achilia uhusiano ulio nao kwao,jifunze kuwajibika wewe binafsi na hutoona unawalaum watu wengine
 
Usinge tumia neno "sisi"nilishadhani ni cuterey kaja kulaumu tena maana ndie mapenzi yana mdrive crazy
 
Inakuwaje,

Kuna jambo huwa linanishangaza kwa baadhi ya sisi sisi wanaume.
Kwanza principle ambayo ipo by nature wanaume wenyew huwa tunapeana priority katika mambo mengi over females ( hasa hawa ke wa dot com).

Hii ni kwasababu sisi ndio wafanyaji wa mengi katika maisha (majukumu) hivyo tunapeana thamani kwa kuthamini uwajibikaji wetu.

Women are mentally weak hata vitabu vya dini vinatufahamisha na ndio maana hata tukaambiwa tuwe viongozi kwao.Ndio maana ni simple ukigumiana na mdada akiwa mahali fulani au ofisi ya umma akawa ni mwenye kujisikia, kujiona licha ya kuwa hukumfuata yeye pale (sawa tuwavumilie ndio udhaifu wao huo)
Ajabu inatokea pigo hizi tukiwa nazo sisi me

Unakuta umeenda zako ofisi fulani unashida fulani uhudumiwe uende zako unakutana mshikaji ana pigo hizi wachekecheke na demu aliopo pale,(anausahau uanaume wake anaongozwa na ke) mara yuko nae anachatichati mapozi kama yote.

Ile seriousness na mteja haipo
Hii ipoje hii, Je Kuna baadhi ya wanaume nao are mentally weak?

Ukiwakaushia Wanaume weñye tàbia hizô Pia nawe unakuwa na tatizo hilohilo.

Juzi kûna mmoja nimeenda dukani kuchukua vocha, namuuliza vocha ya Buku ya Airtel ipo ananitazama hasemi kitu.

Nikajua hajasikia, nikarudia tenà akawa akaniangalia Bahati nzuri akaingia kijana Mwingine mule dukani.
Nikamwambia, kumuacha kiziwi Muda mrefu dukani ni kuwakosea wateja.

Yule jamaa WA Kwanza kusikia hivyo akang'aka Nani kiziwi.
Nikamwambia kumbe unasikia Sasa ulikuwa unadengua dengua nini Hapa.
Ugomvi ukataka Kuzuka, nikamwambia hiyo tàbia ya kudengua dengua kidemu itakupeleka pabaya, huyo nikatoka zangu. Nikiacha Watu wakiwa wanashangaa shangaa
 
Back
Top Bottom