Vanclassic
Member
- Sep 9, 2024
- 88
- 200
Aisee hili taifa Lina polisi njaa sana
Jana mida saa mbili usiku nilikuwa Nina mzigo flani nikataka niufunge kwenye piki piki bahat mbaya mpira ukakatika
Nikatoka kwenda kununua duka flan si mbali sana, ile nimepaki piki piki ghafla nikazungukwa na mapolisi wapo 5 huku wawili wameshika bunduki dah
Wakaniuliz kwanin Sina helment nikawaambia nimesahau nyumban.. mmoja akaichukua pik pik akaondoka nayo pembeni kidgo. Mwingine akaniita pembeni eti unajua ni kosa kubwa San kutovaa kofia ngumu.
Apo apo akaniambia sa ndgu tunafanyaje kulimaliza hili tusifike mbali😂nikawapa elfu kum wakaniachia.
Katika wale polisi mmoja wapo alikuwa ana vv mbili begano. Sasa najiuliza kweli elfu kumi wana gawana kundi la watu ote hao