Kuna baadhi ya Polisi wana njaa sana

Kuna baadhi ya Polisi wana njaa sana

Kutokuvaa helment nikosa kisheria na kama ingetekelezwa adhabu yake ni Tsh 30,000. Kipi bora sasa.

Afu tusijizimi data bana sio kila kitu kulaumu police, hv kweli policy wafuate sheria za barabaran ipasavyo Raia si tutalalamika sana. Kwa hizo road kumejaa migari mibovu kibao, zisizo na nyaraka ndio usiseme na haswa bodaboda kuto kutii sheria nikawaida kwao
Baada ya miaka kadhaa ya malalamiko kila mtu atafata sheria bila shuruti..tutaanza kujiita tuko civilized kumbe ni sheria zimeswitch watu
 
Aisee hili taifa Lina polisi njaa sana😆
Jana mida saa mbili usiku nilikuwa Nina mzigo flani nikataka niufunge kwenye piki piki bahat mbaya mpira ukakatika

Nikatoka kwenda kununua duka flan si mbali sana, ile nimepaki piki piki ghafla nikazungukwa na mapolisi wapo 5 huku wawili wameshika bunduki dah

Wakaniuliz kwanin Sina helment nikawaambia nimesahau nyumban.. mmoja akaichukua pik pik akaondoka nayo pembeni kidgo. Mwingine akaniita pembeni eti unajua ni kosa kubwa San kutovaa kofia ngumu.😂😂

Apo apo akaniambia sa ndgu tunafanyaje kulimaliza hili tusifike mbali😂😂.. nikawapa elfu kum wakaniachia.... Katika wale polisi mmoja wapo alikuwa ana vv mbili begani😂😂😂. Sasa najiuliza kweli elfu kumi wana gawana kundi la watu ote hao
Polisi wengi ni hovyo sana na njaa za kipumbavu sana!
 
Kwahy kipi Bora turuhusu kutoa na kupokea rushwa ili turuhusu uzembe kuendelea kushamiri au tusimamie sheria ili kuokoa maisha ya wengine?
Pima mwenyewe sasa na mihamko yenu, mambo yanaenda kihesabu tena sehemu ukifuata sheria utakosana na watu wengi ni barabarani wa Tz kawaida yetu hatununui Zero km, tumezoea used 88% ya gari zote Tz ni zilinunuliwa used sasa utagombana na watu wengi sana mzee
 
Hapo ilitakiwa wakuulize kama una leseni,wakague chombo chako na kama ilobainika kuna makosa,mfano huna leseni ufikishwe mahakamani,sheria ichukue mkondo wake.Walikosea sana kuchukua elfu kumi.
Siku nyingine wakukamate ukalale ndani,asubuhi wafuate sheria ufikishwe mbele.Pole sana kwa yaliyokukuta.Hao polisi WENYE NJAA bilashaka ni wale ambao hupewa pesa katikati ya mwezi,pesa ambayo mwalimu huwa hapewi na mwisho wa mwezi wanalipwa mishahara.Waache kuendekeza njaa,wafuate sheria.
 
Aisee hili taifa Lina polisi njaa sana
Jana mida saa mbili usiku nilikuwa Nina mzigo flani nikataka niufunge kwenye piki piki bahat mbaya mpira ukakatika

Nikatoka kwenda kununua duka flan si mbali sana, ile nimepaki piki piki ghafla nikazungukwa na mapolisi wapo 5 huku wawili wameshika bunduki dah

Wakaniuliz kwanin Sina helment nikawaambia nimesahau nyumban.. mmoja akaichukua pik pik akaondoka nayo pembeni kidgo. Mwingine akaniita pembeni eti unajua ni kosa kubwa San kutovaa kofia ngumu.

Apo apo akaniambia sa ndgu tunafanyaje kulimaliza hili tusifike mbali😂nikawapa elfu kum wakaniachia.

Katika wale polisi mmoja wapo alikuwa ana vv mbili begano. Sasa najiuliza kweli elfu kumi wana gawana kundi la watu ote hao
Wananjaa hafu ni chawa wa mama
 
Mkuu ungewapa buku ya Maji kama wabunge walivyopitisha leo Bungeni.
 
Hapo ilitakiwa wakuulize kama una leseni,wakague chombo chako na kama ilobainika kuna makosa,mfano huna leseni ufikishwe mahakamani,sheria ichukue mkondo wake.Walikosea sana kuchukua elfu kumi.
Siku nyingine wakukamate ukalale ndani,asubuhi wafuate sheria ufikishwe mbele.Pole sana kwa yaliyokukuta.Hao polisi WENYE NJAA bilashaka ni wale ambao hupewa pesa katikati ya mwezi,pesa ambayo mwalimu huwa hapewi na mwisho wa mwezi wanalipwa mishahara.Waache kuendekeza njaa,wafuate sheria.
NAona polisi unajitetea kinamna...njaa mnayo tena sana tu
 
Back
Top Bottom