Ndiye mgombea pekee wa ubunge aliyetumia helikopta kusaka kura.....wana-TAKUKURU kivuli tunauliza ni nani jamaa huyu? Mafweza anayapata wapi? Wenye 'takwimu' waturushie.....
Anapaswa ajibu swahi hili lakini ntampata awapi baadhi ya Magazeti leo yanadai ni Raia wa USA pia... Wadau nani anachanzo cha habari hiyo
Anapaswa ajibu swahi hili lakini ntampata awapi baadhi ya Magazeti leo yanadai ni Raia wa USA pia... Wadau nani anachanzo cha habari hiyo
Anapaswa ajibu swahi hili lakini ntampata awapi baadhi ya Magazeti leo yanadai ni Raia wa USA pia... Wadau nani anachanzo cha habari hiyo
Hivi jamani, GREEN CARD inatoa uraia?Anataka kujua, hakuna sababu ya kumshambulia. Huyu Nyalandu ni mwanasiasa anayetaka nafasi zaidi kitaifa, hivyo kuishi kwake nchini Marekani hapana budi kuchunguzwa asijekuwa ni raia aliyeukana uraia wake wa kuzaliwa kwa ajili ya kupata uraia wa kuasiliwa.
Lazima kuwe na siku ya kwanza kwenye JF. na si lazima zipite siku "Nyingi" ndipo mtu alete thread. Itendeeni haki hata kama mtoa mada kajiunga leo!Join Date : 9th January 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Umejiunga leo mahusus kwa bandiko hili?
Hivi jamani, GREEN CARD inatoa uraia?
NN na wengine hebu nifafanulieni!
EDUCATIONS | ||||
School Name/Location | Course/Degree/Award | Start Date | End Date | Level |
Waldorf University College (U.S.A) | BA. (Business Administration) | 1994 | 1996 | GRADUATE |
Wartburg University College (U.S.A) | BA. (International Business) | 1997 | 1998 | GRADUATE |
Pohama Primary School | Primary Education | 1980 | 1984 | PRIMARY |
Mrumba Primary School | Primary Education | 1985 | 1986 | PRIMARY |
Kibaha Secondary School | O-Level Education | 1987 | 1990 | SECONDARY |
Ilboru Secondary School | A-Level Education | 1991 | 1993 | HIGH SCHOOL |
Ndiye mgombea pekee wa ubunge aliyetumia helikopta kusaka kura.....wana-TAKUKURU kivuli tunauliza ni nani jamaa huyu? Mafweza anayapata wapi? Wenye 'takwimu' waturushie.....
Lazaro was born in dire poverty in North Central Tanzania. He grew up in a small two room mud hut with twelve of his brothers and sisters. The family had barely enough food to eat let alone the finances to afford advanced education. Lazaro knew that the only way he would be able to make a difference for his family and his country was to obtain an education.
Through sheer determination and hard work, Lazaro dedicated himself to finding a means to put himself through school. He was able to attend high school level studies (known as secondary school in Tanzania) through the efforts of several philanthropic individuals. While in high school, Lazaro achieved academic success by receiving the highest grades on the annual national exams and won Tanzanian student of the year award. As a benefit of the award, Lazaro was given the opportunity to attend Waldorf College in Forest City, Iowa.
My take what was the name of award again???????? mengine sijataka kuweka ila ukitaka nitaweka full document na funds zilizotolewa..... ukibeep tunapiga, Nyalandu hakuwahi kuwa na akili darasani
EDUCATIONS School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level Waldorf University College (U.S.A) BA. (Business Administration) 1994 1996 GRADUATE Wartburg University College (U.S.A) BA. (International Business) 1997 1998 GRADUATE Pohama Primary School Primary Education 1980 1984 PRIMARY Mrumba Primary School Primary Education 1985 1986 PRIMARY Kibaha Secondary School O-Level Education 1987 1990 SECONDARY Ilboru Secondary School A-Level Education 1991 1993 HIGH SCHOOL