Kuna anayemfahamu Mh Lazaro Nyalandu?

Ustaadh

JF-Expert Member
Oct 25, 2009
413
19
Ndiye mgombea pekee wa ubunge aliyetumia helikopta kusaka kura.....wana-TAKUKURU kivuli tunauliza ni nani jamaa huyu? Mafweza anayapata wapi? Wenye 'takwimu' waturushie.....
 
Ndiye mgombea pekee wa ubunge aliyetumia helikopta kusaka kura.....wana-TAKUKURU kivuli tunauliza ni nani jamaa huyu? Mafweza anayapata wapi? Wenye 'takwimu' waturushie.....

Huyu jamaa ana uhusiano wa karibu sana na EOTF. Ni kigwa wa EOTF
 
Swali zuri sana! Jibu analo Nyelandu mwenyewe.

Kwa mbali nasikia amefadhiliwa na Shirika moja wapo la Marekani. Aulizwe mwenyewe aliendaje Marekani, alisomea nini na wapi? Na aliporudi ni vipi alijiunga na Mfuko wa Mama Mkapa na kuacha mabilioni ya fedha hapo.

Nasikia- Tafadhali wahusika wafuatilie- Zawadi aliyopewa ni Ubunge katika jimbo lake la sasa na kumwengua Joram Alute (Mwenyekiti wa CCM wa Sasa - Singida). Tatizo la Watanzania ni wengi si wasema kweli ni Unafiki tu ndio unatawala. Tuwaachie wana Habari wa IJ.

RA
 
Anapaswa ajibu swahi hili lakini ntampata awapi baadhi ya Magazeti leo yanadai ni Raia wa USA pia... Wadau nani anachanzo cha habari hiyo
 
Anapaswa ajibu swahi hili lakini ntampata awapi baadhi ya Magazeti leo yanadai ni Raia wa USA pia... Wadau nani anachanzo cha habari hiyo

Wa TZ bwana mmesha mtafutia uraia!
 
Anapaswa ajibu swahi hili lakini ntampata awapi baadhi ya Magazeti leo yanadai ni Raia wa USA pia... Wadau nani anachanzo cha habari hiyo

Anataka kujua, hakuna sababu ya kumshambulia. Huyu Nyalandu ni mwanasiasa anayetaka nafasi zaidi kitaifa, hivyo kuishi kwake nchini Marekani hapana budi kuchunguzwa asijekuwa ni raia aliyeukana uraia wake wa kuzaliwa kwa ajili ya kupata uraia wa kuasiliwa.
 
Hivi jamani, GREEN CARD inatoa uraia?

NN na wengine hebu nifafanulieni!
 
Join Date : 9th January 2012
Posts : 1
Rep Power : 0

Umejiunga leo mahusus kwa bandiko hili?
Lazima kuwe na siku ya kwanza kwenye JF. na si lazima zipite siku "Nyingi" ndipo mtu alete thread. Itendeeni haki hata kama mtoa mada kajiunga leo!
 
Namfahamu Lazaro kuwa ni Mwana Singida mwenzangu, alitumia Helkopta kusaka Ubunge, Wakati wa kugombea ubunge alikamatwa na TAKUKURU amechinja Ng'ombe Kijiji cha Matumbo, Tarafa ya Mtinko Wilaya ya singida, lakini tangu alipokatwa hajawahi kutiwa hatiani, japo katika sakata hilo kuna Afisa wa TAKUKURU alikoswa na risasi usiku. Hii imebaki siri kubwa. Mwangalizi wa TEMCO katika Jimbo lake alikuwa binti hakusema lolote na baada ya uchaguzi tu huyo Binti wa TEMCO amebaki Singida hadi sasa.

Nyalandu pia alidanganya watoto akawapeleka Arusha akawaambia amewatafutia wafadhili, watoto wakalala Nkwaranga Sekondari, wakacheza mbele ya Wazungu hoteli inaitwa Arumeru Lodge, lakini tangu wametoka kule hawajaambulia kitu. Na sasa wanalalamika ila Kambi yake inasema ni Mafisadi wanamchafua hili sio kweli. Vijana wamedhulumiwa pesa yao, data tunazo, nitaziweka humu kesho asubuhi.

Kuhusu Uraia, madai hayo yalitajwa wakati wa kampeni na anayejua haya alikuwa ni Diwani wa kata ya Merya anaitwa Mutiana na kundi lake..... wana data full kuhusu Nyalandu kuwa na uraia wa nchi mbili.
 
Lazaro was born in dire poverty in North Central Tanzania. He grew up in a small two room mud hut with twelve of his brothers and sisters. The family had barely enough food to eat let alone the finances to afford advanced education. Lazaro knew that the only way he would be able to make a difference for his family and his country was to obtain an education.

Through sheer determination and hard work, Lazaro dedicated himself to finding a means to put himself through school. He was able to attend high school level studies (known as secondary school in Tanzania) through the efforts of several philanthropic individuals. While in high school, Lazaro achieved academic success by receiving the highest grades on the annual national exams and won Tanzanian student of the year award. As a benefit of the award, Lazaro was given the opportunity to attend Waldorf College in Forest City, Iowa.

My take what was the name of award again???????? mengine sijataka kuweka ila ukitaka nitaweka full document na funds zilizotolewa..... ukibeep tunapiga, Nyalandu hakuwahi kuwa na akili darasani
EDUCATIONS
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Waldorf University College (U.S.A)
BA. (Business Administration)
1994
1996
GRADUATE
Wartburg University College (U.S.A)
BA. (International Business)
1997
1998
GRADUATE
Pohama Primary School
Primary Education
1980
1984
PRIMARY
Mrumba Primary School
Primary Education
1985
1986
PRIMARY
Kibaha Secondary School
O-Level Education
1987
1990
SECONDARY
Ilboru Secondary School
A-Level Education
1991
1993
HIGH SCHOOL
 
Ndiye mgombea pekee wa ubunge aliyetumia helikopta kusaka kura.....wana-TAKUKURU kivuli tunauliza ni nani jamaa huyu? Mafweza anayapata wapi? Wenye 'takwimu' waturushie.....

Yuko chama gani huyo mtu?
 
Lazaro was born in dire poverty in North Central Tanzania. He grew up in a small two room mud hut with twelve of his brothers and sisters. The family had barely enough food to eat let alone the finances to afford advanced education. Lazaro knew that the only way he would be able to make a difference for his family and his country was to obtain an education.

Through sheer determination and hard work, Lazaro dedicated himself to finding a means to put himself through school. He was able to attend high school level studies (known as secondary school in Tanzania) through the efforts of several philanthropic individuals. While in high school, Lazaro achieved academic success by receiving the highest grades on the annual national exams and won Tanzanian student of the year award. As a benefit of the award, Lazaro was given the opportunity to attend Waldorf College in Forest City, Iowa.

My take what was the name of award again???????? mengine sijataka kuweka ila ukitaka nitaweka full document na funds zilizotolewa..... ukibeep tunapiga, Nyalandu hakuwahi kuwa na akili darasani
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Waldorf University College (U.S.A)BA. (Business Administration)19941996GRADUATE
Wartburg University College (U.S.A)BA. (International Business)19971998GRADUATE
Pohama Primary SchoolPrimary Education19801984PRIMARY
Mrumba Primary SchoolPrimary Education19851986PRIMARY
Kibaha Secondary SchoolO-Level Education19871990SECONDARY
Ilboru Secondary SchoolA-Level Education19911993HIGH SCHOOL

Wataalamu wanasema jamaa hakumaliza degree yake.....

Naona huyu choko ameubip urais ..tu ..kashaambiwa sio raia...au ana dual citizenship...nadhani huu ni mjadala mzuri....,watu wenye dual citizenship kama katiba ikija kuwaruhusu ni muhimu tukawwawekea mipaka ....ie hawezi kuajiriwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, anaweza kuwa mbunge [lakini hatateuliwa uwaziri au kuhudumu kwenye kamati nyeti bungeni]...na kwenye vyama hataweza kuwa kiongozi mkuu wa chama........ni vigumu kuwa na rais mwenye double loyalty...no wounder huyu Nyalandu ..amekosea sana ...badala ya kusema kuwa wananchi wa Tanzania wameniomba nigombee urais ...anasema Wamarekani wameniomba nigombee urais !!! basi akagombee huko ..tena mwaka huu kuna uchaguzi labda kama amechelewa primaries...........
ameniudhi sana ..binafsi nilikuwa nikimuona kama presidential material ...lakini sijui kwanini empathy yangu ilikuwa ikinituma kuwa ni CIA recruit.......for which he can't even stand...there vetting kwa uropokaji wake........

Sasa nadhani intelligence wamemrushia kapu.......sijui hili anajisafishaje ..labda ...JK Ambebe!!!
 
mwenyekiti wa UKWATA taifa ...from Ilboru mwaka ....1990/91.....hakupata scholarship ya best students......ambao wengi wa best students wamekuwa wakisoma mlimani...na wengine wanaoendelea kufanya vyema kuwa retained pale as lecturers ...

Alipata mchongo wa kwenda kusoma Marekani kwa kutumia mgongo wa Ukwata[kanisa]....nijuavyo mimi ..enzi zile viongozi wengi high schools affilieted to Ukwata, YCA au uvccm ni wachache sana waliokuwa wakifanya vyema darasani ..let alone becoming best student...hivi kama ameweka hivyo kwenye CV yake hajuwi tukienda baraza la mitihani ..wana list ya best students wote tangu miaka ya 60...sijuwi kwanini watu wanapenda sifa za kijinga
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom