Kuna anaemzidi Dj Murphy kwa kutafsiri season?

Huyu Dj namkubali sanaa, anajua anachokifanya.

-Anaepuka matusi kwenye kazi.
-Sauti yake inavutia kusikiliza.
-Anatoa ushauri wa kimaisha anapotafsiri movie
Na mengine mengi.

Binafsi nampa nafasi ya kwanza. Ya pili nampa DJ Afro
Ali dj mzuri na master
 
Watanzania kwa kuponda vya kwao hamjambo. Hawa jamaa wengi wao kwa sasa wapo vzr na makini sanaaa sema kuna watanzania washamba wanahisi wakisifia wataonekana washamba acheni kufake maisha mnapenda Sana kuangalia ila mnajifanya uzungu wachenii hizo maphy yupo vzr %100

acha upumbavu wewe kule ni kutafsiri au kusimulia kitu ulichokiangali?
 
Tatizo lake anatukana sana alafu anachanganya na lugha nyingine zisizoeleweka. Mf: Makagari, kamunyweso, unyambo, kibwinya, nk.
ila naona Kama kabadilika kuna kipindi mpk nikawa naogopa angalia movie zake kwa sauti anatukana mpk basi ila now anatumia tafsida nyingi
makagari =mapumbu
kugusa uroro = kufanya mapenzi
kufukuza waamiaji aramu kiskimayo =kufanya mapenzi
kibwenye =uke
unyambo =kijambo
azinyaku = hamu ya kufanya mapenzi
na nyingine nyingi
 
Serikali inatakiwa ipige marufuku hizi movie ambazo waswahili wanaingiza sauti zao.
1. Zinakiuka copyrights
2. Nyingi ni pirated, yani zinatolewa copy kwenye vikomputa mitaani serikali haipati kodi
3. Tafsiri nyingi ni za uongo
4. Zunalemaza vijana hususan wanafunzi kujifunza lugha za kigeni
5. Zinapoteza muda wa watanzania kuzalisha mali
6. N.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom