Tumefunga na ndoa na watoto tukazaa tunasubiri wajukuu sasaHusika na kichwa cha habari hapo juu
Kuna waliowahi kukutana humu na kuwa wapenzi ukweli ukweli?
Unataka kunitunuku nini? hahahaNakukumbuka pia
Kwa hali hii mwanaume anajitangaza anatumia ID ya kike, ndio maana JF sijawahi kutongoza mwanamke yoyote toka nimejiunga 2013.Nahisi wapo, nina ID yangu ya kike kuna PM nyingi za wanaume humu na namba zao za simu wa etuma ila nawazungusha. Kama kweli ningekuwa dem ningewakubali walao wawili.
Hiyo ID ina Followers, wakati hii ni ya kitambo sina follower hata mmoja.
Za wewe? Long time.Padre nilimpata humu jf, penzi lake ni jipya kila siku,
wanaume sisi ..ni nyoko kabisaNahisi wapo, nina ID yangu ya kike kuna PM nyingi za wanaume humu na namba zao za simu wa etuma ila nawazungusha. Kama kweli ningekuwa dem ningewakubali walao wawili.
Hiyo ID ina Followers, wakati hii ni ya kitambo sina follower hata mmoja.
Ulinipata? Umenipata au ndo unataka kunipata?😁
Dah........ 🤭Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Kuna waliowahi kukutana humu na kuwa wapenzi ukweli ukweli?
Mtaje shemeji yetu tumjueMimi na mchumba humu sema anawivuu sana
Ndo maana tunalenga freelanceZa wewe? Long time.
Mhenga mimi nafahamu couples za humu, zina ndoa na familia.
nataka kukupataUlinipata? Umenipata au ndo unataka kunipata?
Haya ushanipata!! Toa ushuhuda sasa 😁nataka kukupata