Kuna aliyewahi kukutana na hii hali?

Nimewahi kuwa na wapenzi kwa nyakati tofauti katika nchi kadhaa za kiafrika na Ulaya. kuwa wazi zaidi ni kwamba wapenzi hao wanafikia wanane. watano Wazungu na watatu waafrika.
Miongoni mwa hao sita [4whites and 2brown] wamewahi kunitolea expression moja ambayo hadi leo sielewi why and it was very natural!
Wakti fulani [ once or twice] baada ya kufanya mapenzi walitokea kusema AHSANTE! nlipouliza kwanini anashukuru mara zote hawasemi!!
1. Je, sababu ni nini?
2. Je, wanakuwa wanashukuru kweli?
3. Je, wanakuwa wameshukuru kutoka moyoni?
4. Kwa nini aiwi wakti wote mnapomaliza?


na yule aliyekwambia una kibamia mbona ausemi?
 
Sio kweli kwamba wnawake wote wanaosema asante ni kwamba wametoshelezwa. mara zote nilikuwa nasema asante kama ni njia moja tu ya kumpa hope na asijisikie vibaya lakini huku nikiwa bado mzitooooooooooooooo.
anyway sijawahi kupata raha lakini nasema asante

utafafiti unasema hauko peke yako kwenye hili.
 
ugoro wala gozo vitakuwa havipandi...ntakuwa mtata sana hahahahahaha!
Dah! hiyo age ukiifikiria inazingua kweli aisee! yaani age hiyo chumvini hakuendeki tena, na mshopododo kuusimamisha labda utumie maji ya betri ya lorry. khaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom