Kuna aliyewahi kukutana na hii hali?

Huyu **** inaonyesha Hajawahi kufurahisha mwanamke, na ameshapata nyepesi nyepesi za chumbani kuwa mtu ukimfurahisha mwanamke lazima akushkuru. sasa huyu jamaa nafikiri anataka kujua HOW IT FEELS WHEN A WOMAN SAY THAT TO YOU. Nitakuambia leo.....IT FEELS GREAT....Kwasababu kazi ulipewa, au uliyokuwa unafanya imekamilika...hakuna mwanaume asiyependa kukamilisha kazi ila ni majaliwa bro...Punguza Umalaya kuwa na mpenzi mmoja unayempenda, punguza ulevi..usiwe mbinafsi kwenye tendo la ndoa..sikilizia kila pigo au mhemo, anapopenda mwenza wako kushikwa shika ukifanya haya neno ASANTE LITAKUWA LA KAWAIDA KWAKO..MWISHO USIWE **** KUTUULIZA MASWALI AMBAYO MAJIBU UNAYO HUMU.
 
Mwanamke yeyote mwenye staha husema asante baada ya hiyo kazi ngumu ya kumhudumia. Haijalishi amefika au la, maana hata ile kumsugua tu kunampa raha. Bt kwa mtizamo wangu, wanaume nao wanapaswa kushukuru baada ya shughuli.
 
Nimewahi kuwa na wapenzi kwa nyakati tofauti katika nchi kadhaa za kiafrika na Ulaya. kuwa wazi zaidi ni kwamba wapenzi hao wanafikia wanane. watano Wazungu na watatu waafrika.
Miongoni mwa hao sita [4whites and 2brown] wamewahi kunitolea expression moja ambayo hadi leo sielewi why and it was very natural!
Wakti fulani [ once or twice] baada ya kufanya mapenzi walitokea kusema AHSANTE! nlipouliza kwanini anashukuru mara zote hawasemi!!
1. Je, sababu ni nini?
2. Je, wanakuwa wanashukuru kweli?
3. Je, wanakuwa wameshukuru kutoka moyoni?
4. Kwa nini aiwi wakti wote mnapomaliza?

ningekuwa mmoja wapo wa hao wazungu sita ningejibu. Ni ngumu kumjibia mtu.
 
Hapa naskiliza habari live zinasema mauzo ya gesti yalipungua kweli leo, kulaleki! halaf kuna mdada tunatongozana daily lakini leo kagoma kujibu PM eti tuheshim kiama. hakyababu member wa JF waoga. Lizzy wenyewe na husninyo na michelle habari za kuaminika wameonekana nyumba za ibada za walemavu wakati wao hawana ulemavu wowote. Kamanda hatuna majeshi hapa JF tuna wapiga zogo tu

mwisho wa dunia umesogezwa mbele kidogo hadi hapo mtakapofahamishwa.
Samahanini kwa usumbu uliojitokeza.
 
ASANTE =Worse sex ever lakini sitaki kuku katisha tamaa ngoja niku nikupe moyo
"Asante"

ASANTE=that was awesome...

Kwakweli unatakiwa uangalie body language
kikubwa zaidi hiyo sauti.. labda utagundua ni
asante ipi unapewa.. binafsi napenda kusema "ASANTE,"
 
Nimewahi kuwa na wapenzi kwa nyakati tofauti katika nchi kadhaa za kiafrika na Ulaya. kuwa wazi zaidi ni kwamba wapenzi hao wanafikia wanane. watano Wazungu na watatu waafrika.
Miongoni mwa hao sita [4whites and 2brown] wamewahi kunitolea expression moja ambayo hadi leo sielewi why and it was very natural!
Wakti fulani [ once or twice] baada ya kufanya mapenzi walitokea kusema AHSANTE! nlipouliza kwanini anashukuru mara zote hawasemi!!
1. Je, sababu ni nini?
2. Je, wanakuwa wanashukuru kweli?
3. Je, wanakuwa wameshukuru kutoka moyoni?
4. Kwa nini aiwi wakti wote mnapomaliza?

mbona maswali yako yanafanana? Afu unatueleza huu upuuzi wako ili sisi tukuone we ndo kidume au? Kwamba we unatembea na wazungu hivy we ni HB au?
1. We ni malaya, punguza/acha kabisa hiyo tabia, utakufa.
2. Siku wote hao wakijuana utaonekana mwehu, jiheshimu bro!
3. Kama we ni malaya na unapenda hiyo tabia yako iwe siri yako, usituelezee sisi.
4. Jf ni mahali pa kuelimishana, sio mahali pa kusifia wanaume wenye wanawake 8 wa kizungu na kiafrika
5. Unaboa, jiheshimu uonekane mwanaume, sio kuwa na wanawake wengi tukuone malaya.
 
Dahhhhhh
Maneno yote makali hayo ya nini?????
Kama umesoma vizuri alicho andika tangu mwanzo utaona kasema"NIMEWAHI" Which
Means is past tense.. lakini we unavyomjibu
na kumwita malaya ni kama vile anafanya sasa..

Itakuwa vema kumjibu mtu kutokana na
maelezo yake..
labda kaokoka sasa lakini sisi hatuwezi jua hilo..
 
Hivi wewe unafikiri kutoa mwlii wako na kuunganisha na mwingine ni jambo dogo? kwa maana ya ndani ni jambo kubwa sana.
 
Sio kweli kwamba wnawake wote wanaosema asante ni kwamba wametoshelezwa. mara zote nilikuwa nasema asante kama ni njia moja tu ya kumpa hope na asijisikie vibaya lakini huku nikiwa bado mzitooooooooooooooo.
anyway sijawahi kupata raha lakini nasema asante

... wasiliana na mtoa mada akufikishe kileleni.. umpe AASANTE yako for the first tym.. If I were U.. i would
 
Mwanamke yeyote mwenye staha husema asante baada ya hiyo kazi ngumu ya kumhudumia. Haijalishi amefika au la, maana hata ile kumsugua tu kunampa raha. Bt kwa mtizamo wangu, wanaume nao wanapaswa kushukuru baada ya shughuli.
hakuna cha staha wala nini,ahsante hutoka kama kazi imefanyika vizuri kiunyume chake ntakukata jicho baya na misonyo ya kisirisiri huku nkiangalia kadude kako kwa dharau,unafanya maskhara nini kuachwa na unenge.
 
Dahhhhhh
Maneno yote makali hayo ya nini?????
Kama umesoma vizuri alicho andika tangu mwanzo utaona kasema"NIMEWAHI" Which
Means is past tense.. lakini we unavyomjibu
na kumwita malaya ni kama vile anafanya sasa..

Itakuwa vema kumjibu mtu kutokana na
maelezo yake..
labda kaokoka sasa lakini sisi hatuwezi jua hilo..

Afro bwn mchizi anaboa, yeye anadai kila anaekuja anamwambia asante, na akauliza je, wanamaanisha? Means now, so he want us to say they mean what they say, so my friend dont you think that if we wil encourage him actualy we wil be loosing him? Let he know the truth, let we be strickt.
 
Labda kweli hao 8 walisema thanx..
Mimi kweli bado sijaona alipokosea
Ila alivyoandika "to much information"
Lakini ukiangalia kwa undani yeye kaji
express himself na kaamua kuwa free ku share experience yake.. hakutumia neno
lolote kali.. haina haja ya sisi kuwa strict
Maana hatuna undugu naye na sisi sio
Wazazi wake...
Mmhhh.
 
poa lakini kijana anatakiwa kuangalia mada anazozileta kwa wadau na style za kuzisubmit. Vinginevyo tutamwelewa vibaya sana.
 
poa lakini kijana anatakiwa kuangalia mada anazozileta kwa wadau na style za kuzisubmit. Vinginevyo tutamwelewa vibaya sana.

My dear hapo nakuunga
Mikono na miguu hahahshhah lol
Nashukuru tumeelewana..
Have a good day..
AD
 
hakuna cha staha wala nini,ahsante hutoka kama kazi imefanyika vizuri kiunyume chake ntakukata jicho baya na misonyo ya kisirisiri huku nkiangalia kadude kako kwa dharau,unafanya maskhara nini kuachwa na unenge.
heheehhe na huyu ndio shosti bana! ni memba pekee wa JF ambae akifariki itabidi tuomboleze siku tatu mfululizo.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom