Mathanzua JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 17,435 Reaction score 23,092 Jan 1, 2020 #101 mulaga said: Hata Mimi sirogeki Click to expand... Kutorogeka kuna tegemea imani yako,what you believe in.Sasa hawaja kuroga because of your faith au kwa sababu you are lucky hawajakupitia?
mulaga said: Hata Mimi sirogeki Click to expand... Kutorogeka kuna tegemea imani yako,what you believe in.Sasa hawaja kuroga because of your faith au kwa sababu you are lucky hawajakupitia?
S Samson Ngomboli JF-Expert Member Joined Oct 30, 2019 Posts 1,598 Reaction score 2,714 Jan 1, 2020 #102 Walokole original hawarogeki kabisa kabisa.
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,434 Reaction score 59,295 Jan 1, 2020 #103 areafiftyone said: Endelea na moyo huo huu,lakini muamini Mungu,kwa kuwa hata sasa hiyo imani yako ndogo uliyo nayo ndiyo inayokusaidia. Click to expand... Asante sana Nafikiri Imani ndio inanifanya niwe jasiri hivi Namwamini Mungu sana na nina shukuru kwa kila kitu Sent from my iPhone using Tapatalk
areafiftyone said: Endelea na moyo huo huu,lakini muamini Mungu,kwa kuwa hata sasa hiyo imani yako ndogo uliyo nayo ndiyo inayokusaidia. Click to expand... Asante sana Nafikiri Imani ndio inanifanya niwe jasiri hivi Namwamini Mungu sana na nina shukuru kwa kila kitu Sent from my iPhone using Tapatalk
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,991 Reaction score 831,560 Jan 1, 2020 Thread starter #104 Kaka mkubwa naona wairaq wamekinukisha... Bado nina mpango wa kufika kule mahali kama unakumbuka black sniper said: Asante sana Nafikiri Imani ndio inanifanya niwe jasiri hivi Namwamini Mungu sana na nina shukuru kwa kila kitu Sent from my iPhone using Tapatalk Click to expand... Jr
Kaka mkubwa naona wairaq wamekinukisha... Bado nina mpango wa kufika kule mahali kama unakumbuka black sniper said: Asante sana Nafikiri Imani ndio inanifanya niwe jasiri hivi Namwamini Mungu sana na nina shukuru kwa kila kitu Sent from my iPhone using Tapatalk Click to expand... Jr
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,434 Reaction score 59,295 Jan 1, 2020 #105 Mshana Jr said: Kaka mkubwa naona wairaq wamekinukisha... Bado nina mpango wa kufika kule mahali kama unakumbuka Jr Click to expand... Aisee hapo ni mgogoro tu Naona Trump anailaumu Iran Bro tuombe hali ya vita na machafuko yaishe hapo maana wana historia kubwa sana na hawakustahili hivyo Kila la kheri Mkuu Sent from my iPhone using Tapatalk
Mshana Jr said: Kaka mkubwa naona wairaq wamekinukisha... Bado nina mpango wa kufika kule mahali kama unakumbuka Jr Click to expand... Aisee hapo ni mgogoro tu Naona Trump anailaumu Iran Bro tuombe hali ya vita na machafuko yaishe hapo maana wana historia kubwa sana na hawakustahili hivyo Kila la kheri Mkuu Sent from my iPhone using Tapatalk
Mr. Bigman JF-Expert Member Joined May 7, 2011 Posts 2,560 Reaction score 1,301 Jan 1, 2020 #106 nini hada? devcon said: Hakuna kiumbe asierogeka,kwa taarifa yako hata chuma kinarogeka Click to expand... Kuroga chuma!? Ili kipatikane nini hasa? Sent using Jamii Forums mobile app
nini hada? devcon said: Hakuna kiumbe asierogeka,kwa taarifa yako hata chuma kinarogeka Click to expand... Kuroga chuma!? Ili kipatikane nini hasa? Sent using Jamii Forums mobile app
Mathanzua JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 17,435 Reaction score 23,092 Jan 1, 2020 #107 Mr. Bigman said: nini hada?Kuroga chuma!? Ili kipatikane nini hasa? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sio chuma kama chuma mkuu,chuma kilicho ongezewa thamani na kinarogwa ili kisiweze kutumika kwa kusudio lengwa!
Mr. Bigman said: nini hada?Kuroga chuma!? Ili kipatikane nini hasa? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sio chuma kama chuma mkuu,chuma kilicho ongezewa thamani na kinarogwa ili kisiweze kutumika kwa kusudio lengwa!