Kumwelewa mtu kwa kumtazama machoni

Kumwelewa mtu kwa kumtazama machoni

Hivi ni kweli kuwa unaweza kumtazama mtu machoni na kuelewa nia yake au kama ni mnafiki, kuna jambo anafahamu, au kakutenda, kafanya mauaji hivi inawezekana?

Wana saikolojia na wengineo naombeni ushauri maana haiwezekani kila mwanamke atake kukutazama machoni hapa kuna kitu huwa anakielewa.
macho yana nafasi kubwa kweli kila napokaa na kufikiri.
Ni kweli
 
Psychologists na therapist huwa tunashauriwa tufundishe telekinesis na telepathy for free sababu tunaamini hizi psychic abilities ni kipaji Mungu ametupa sote (tatizo ni kwamba asilimia 99.9 ya watu hawajui kuwa binadamu tunazo hizo nguvu (ziada) za kusoma minds za wenzetu na hata kuhamisha objects bila hata ya kuzigusa)...unaweza ukajifunza online pia for free! ..
Free Telekinesis Training, Learn Telekinesis, Real Telekinesis

Ukishindwa huko basi unakaribishwa nitafute
Mwaga darsa mkuu
 
sio kila unaemwangalia usoni unaweza kumjua nia yake
wengine wamefunzwa jinsi ya kukaza kama sehemu ya kazi yao waliotekeleza
kama kakuibia anakauka kabsa na anakutizama...maana hakunaga namna nyingine....
 
Back
Top Bottom