AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,076
ishu hapa ni je hii haiwezi kuwa kisingizio kwa baadhi ya wanawake...?
Wanawake weengi tumekua jeuri... na tumesahau kua uthamani wetu kama wanawake huja pale ambapo wajistahi wewe mwenyewe... Mumeo na ndoa yenu. Wengi saana tunadhani kua tunapotongozwa huko nje hali tuna waume baasi ni wazuri saana na kwamba waume wetu wana bahati they have us (tukisahau kabisa kua majority ya wanaume akilala na wewe hali una mume; hata siku moja hatakuja kuheshimu, labda ni exceptional situations); Hivo inapotokea mwanaume anamuambia mkewe mwenye low morals fanya maarifa (na alipania kutoka nje) - yaweza mpa sababu na akawa careless kabisa in the pretense kua karuhusiwa. Lakini kwa mwanamke mwerevu atajua kua mume wake kakwama na kwamba kamthamini kiasi cha kua wazi na kuweka hilo tatizo katika mikono yake (kua Him as a Husband anamuamini na kumheshimu mkewe kua with her intellegence aweza tatua tatizo hilo kwa kutumia maarifa ambayo haijumuishi kwenda kulalwa na mwanume mwingine).
na je ni sahihi kwa mwanaume kumwambia mkewe 'fanya maarifa'??
I am old fashioned... Hivo naweza jibu kua logically No! haitakiwi aseme kua "fanya maarifa" labda mimi as a wife nikiona mambo yamekwama kabisa na yaenda mrama ndio nimwambie kua wacha nifanye maarifa mume wangu. Realistically Yes! Maisha yamechange saana, ni gharama na it is taking toil katika families mbali mbali wake kwa waume... Ndoa saizi for it to suceed inatakiw muishi kama partner... na a partner is free to tell a fellow partner afanye maarifa. Hivo hapo kwa upande wangu ni sahihi kabisa. Ila hata hivo huyo mume awe anamfahamu vema mke wake her stamina/Intelligence na creativity katika kusolve matatizo.... Ni vigumu saana wewe mkeo sio mchakalikaji, ni dependent (alafu hajahaliwa akili ya akiba - kama vile utunzaji; waweza msoma thru the way a handle chakula, nguo, vifaa vya nyumba, makazi) kumwambia fanya maarifa... Kwa kweli inatakiwa umakini saana kuweza toa kauli kama hizo kwa mkeo....
Boss narudia Good nite.... Naomba usiniulize tena swali...lol