Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,169
- 11,267
Kwa mfano kama mimi, mwanaume wangu namkopesha sio kumpa bure ila yeye lazima anipeSasa na wewe mbona bahili...ulishawahi kumpa mwanaume wako pesa..au yeye hana shida ya pesa???
Kwa mfano kama mimi, mwanaume wangu namkopesha sio kumpa bure ila yeye lazima anipeSasa na wewe mbona bahili...ulishawahi kumpa mwanaume wako pesa..au yeye hana shida ya pesa???
Na wewe ni tetemeko nini, mbona umeshtuka kwa sautiDuuh!!
Umeanza lini hii tabia [emoji1]
Ubahili wa pesa ama? Mi sio bahili kwa kumkopeshaWewe sio mbahili kwa mwanaume wako??
Kumbe unataka akupe ili umpe papuchi..na je yeye akitaka umpe pesa akupe dushe??Wapo humu wengi tu wapenda kitonga, ila wanavyopenda papuchi sasa.
Raha ya kuwa na mwanaume akutunze hata akikuletea chupi ya buku roho inatulia.
Bila izo perfume mkuu si ntanuka kikwapa utaanza kubwabwaja uku jf mara ooh manzi wangu mchafu mara ananuka kikwapa...akuu shurti nkuvutieKuna wanawake dizaini flani hivi ni kero...yani always anawaza namna gani atapata mahitaji yake from men, badala ya kuwaza namna gani mtapanga malengo ya maendeleo....na namna utakayo changia katika hayo maendeleo.... We unawaza takataka Mara pafyumu.......
Kua makini utakuwa unaachwa deile....
Rudi hapa, au na wewe ni tetemeko[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ni kipaji maalumu, mwanaume bahili hana tofauti na tetemeko
We endelea kucheka tu mkuu, maana ukikumbwa na tetemeko mtu ni changamotoHaahahahaahaaa🙂 Mkuu asante sana kwa kuifanya Jpili yangu iwe ya furaha maana hadi muda huu nacheka 🙂
Ha ha ha haWalah nimecheka hafai hata kwa kulumangia aisee.
Kazi sana kumvumilia mwanamke mwenye pasi, lazima utamsaliti tuuHivi inapata gelofrend au mke anakujali kwa haja zako ndogo ndogo kwa kujituma kwa hali ya juu. Sasa kweli unashindwa kumtimizia mahitaji yake basi hata yale madogodogo kama kumnunulia pads, perfume, hujui anakula nini, analala wapi/ analalaje (sio lazima ulipe kodi) kama ana kagari mjazie hata mafuta n.k
Basi wapenda miteremko na wasiopenda majukumu watamind......wala sijali ila UKITAKA NG'OMBE WAKO ATOE MAZIWA MAZURI MTUNZE
We we ni mwanaume mzuri unajielewa aisee love is caringmie natoa kwa Moyo wangu na upendo kwake ata akinipigia simu kuwa amepungukiwa na kiasi flan kuna kitu anaitaji kama nakuwa na pesa namtumia au km sina namwambia na yeye anaelewa kuwa kweli sina
uppercut ya nguvu hiyo [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Fanya kazi acha kutegemea papuchi,utalia lia kila siku