Kumvumilia mwanaume bahili ni kipaji

Kumvumilia mwanaume bahili ni kipaji

Wewe mwenyewe unapenda mteremko, halafu unawasema wanaume wanajipenda mteremko.

Tafuta financial freedom. Unafurahia maisha kwa raha zako. Ukiwa girlfriend Mie sioni sababu ya kulipisha Mtu bills zako. Ukiwa mke kuna basics ambazo mume atalipia kama nyumba (ili apaite kwake) Na bills zake. Akikuspoil Mara moja moja Na zawadi Na nguo inatosha. Halafu usisahau Na yeye kumspoil pia, love is about give and take
Hivi inapata gelofrend au mke anakujali kwa haja zako ndogo ndogo kwa kujituma kwa hali ya juu. Sasa kweli unashindwa kumtimizia mahitaji yake basi hata yale madogodogo kama kumnunulia pads, perfume, hujui anakula nini, analala wapi/ analalaje (sio lazima ulipe kodi) kama ana kagari mjazie hata mafuta n.k

Basi wapenda miteremko na wasiopenda majukumu watamind......wala sijali ila UKITAKA NG'OMBE WAKO ATOE MAZIWA MAZURI MTUNZE
 
Basi wapenda miteremko na wasiopenda majukumu watamind......wala sijali ila UKITAKA NG'OMBE WAKO ATOE MAZIWA MAZURI MTUNZE
Mmefikia hatua ya kujifananisha na NG'OMBE!?
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Hivi wanaume wana miti au viwanda vya kutengeneza pesa za kuhonga tu
 
Dada yangu naomba msaada hayo mambo Madogo madogo unayomsaidia wew ni yepi? Uenda mm sina bahati.
bora mim usinitege kama huyapatagi basi hata usipotoa ni hiari yako. Ila ng'ombe anahitaji matunzoooo
 
wanawake kama wew ndoa hua mnaishia kugongwa ,kuzalishwa na kuachwa,ndo mana mabinti wengi mtaani sikuiz hawaolew

niliwai kukutana na gashi mmoja ananipa mashart kabisa et "MINATAKA BOYFRIEND ATAKAEKUA ANANITIMIZIA HAJA ZANGU NDOGO NDOGO,"alikula kama 30 baada ya kumla mzigo hata kumsindikiza hakuna,

nyinyi wanawake msupobadilisha izo akili mtaaishia kua ma single mothers,kwani hakuna mwanaume anayependa kua na mwanamke kituko
 
Kuna wanawake dizaini flani hivi ni kero...yani always anawaza namna gani atapata mahitaji yake from men, badala ya kuwaza namna gani mtapanga malengo ya maendeleo....na namna utakayo changia katika hayo maendeleo.... We unawaza takataka Mara pafyumu.......

Kua makini utakuwa unaachwa deile....
sumbai nakupa siri utaachwa wewe
 
Ni kweli s
Hivi inapata gelofrend au mke anakujali kwa haja zako ndogo ndogo kwa kujituma kwa hali ya juu. Sasa kweli unashindwa kumtimizia mahitaji yake basi hata yale madogodogo kama kumnunulia pads, perfume, hujui anakula nini, analala wapi/ analalaje (sio lazima ulipe kodi) kama ana kagari mjazie hata mafuta n.k

Basi wapenda miteremko na wasiopenda majukumu watamind......wala sijali ila UKITAKA NG'OMBE WAKO ATOE MAZIWA MAZURI MTUNZE
Nakubaliana nawe kuwa wanaume wakati mwingine hatutendi haki kabisa kwa ama kwa wake/gelofulendi au michepuko.Tuwape sapoti ili waongeze bidii,tunataka kula tu bila kuliwa
 
Kama umefanya kwa moyo si kwa kulazimishwa..haina shida

Ila na yeye akiona kitu kizuri cha kukupendeza akakununulia tena kwa pesa yake..inakuwa njema zaidi..hayo ndiyo mapenzi..mapenzi kutoa na kupewa..sio kupewa tu..au kutoa tu.
mie natoa kwa Moyo wangu na upendo kwake ata akinipigia simu kuwa amepungukiwa na kiasi flan kuna kitu anaitaji kama nakuwa na pesa namtumia au km sina namwambia na yeye anaelewa kuwa kweli sina
 
Wewe na wenzio kina massawe, kimambo and the rest mnajulikana wabahiliiiii marandu2010
Mm sio mchaga..nataka na wewe ufanye kazi unitunze/unihudumie nipendeze..tuthaminiane...sasa mm nakufanyia wewe..ila wewe haunifanyii chochote...wewe si ndio mbahili??? Unatofauti gan na mlemavu???
 
Naona ushapitwa na wakati ,,huu sio mda was kutegemea upewe chochote kwa mtu wako! Utakuta mwanamke kitandan zero kabis halafu linakua mstri wa mbele kudai pesa ,,ukitaka kusaudiwa mahitaji ungeta Gaza kama ww ni yatina ili huyo Mt wako ajiandae kulea yatima kabisa ,halafu inaonekana unabweteka kutegemea uuze puchi yako no vizuri ujitangaze waz kama ni mjasiria Mali!!?
 
Back
Top Bottom