Kumvumilia mwanaume bahili ni kipaji

Kumvumilia mwanaume bahili ni kipaji

Anikopeshe vipi na akati ye mahitaji yooote anatimiza ndani mi nakopa pesa kwake nipeleke wapi
 
Alafu kesho tena (mtoa mada) utaanzisha uzi.... "WANAUME WA SIKUHIZI SIO WAOAJI WANATAKA KUKUCHEZEA TU THEN WANAKUACHA"
 
nadhan hii ni staili nyingine ya kujiuza wanawake wamebuni. mtu anasingizia eti kwa kua tu ni mpenzi anampangia na majukumu ya kumpa.

hivi kwa mfano huyo mpenzi anaekupa pesa kesho akafulia na hawezi kukupa tena wt next?!! na kwa mfano akikuacha nani anakupa tena huduma?!! acheni kuyatumia mapenzi vibaya.
 
Sasa tunahudumiana kama wote tunapiga kazi..
Kuna wengine sasa hawataki kujishughulisha kwa vile tu anajua mwanaume unacho cha kumpatia na hata ukimkalisha ukamwelesha,Baby hali inabana,hebu chukua huu mtaji uuzungushe tuongeze kipato,aidha atakwambia hawezi au ataichukua na kuipiga kiberiti yote na kurudi kuomba tena kwako.Sasa hapo kweli kuna faida ipi ya kuwa katika uhusiano na mtu wa aina hiyo? Sihitaji pesa ya mwanamke lakini basi walau mambo mengine aweze kujisimamia mwenyewe sio kunitolea macho tu mimi,watoto wangu wafanye nini?
 
nadhan hii ni staili nyingine ya kujiuza wanawake wamebuni. mtu anasingizia eti kwa kua tu ni mpenzi anampangia na majukumu ya kumpa.

hivi kwa mfano huyo mpenzi anaekupa pesa kesho akafulia na hawezi kukupa tena wt next?!! na kwa mfano akikuacha nani anakupa tena huduma?!! acheni kuyatumia mapenzi vibaya.
Yaani hata kuku wa kike amewazidi akili..anatafuta chakula mwenyewe..hamtegemei jogoo.
 
Kuna wengine sasa hawataki kujishughulisha kwa vile tu anajua mwanaume unacho cha kumpatia na hata ukimkalisha ukamwelesha,Baby hali inabana,hebu chukua huu mtaji uuzungushe tuongeze kipato,aidha atakwambia hawezi au ataichukua na kuipiga kiberiti yote na kurudi kuomba tena kwako.Sasa hapo kweli kuna faida ipi ya kuwa katika uhusiano na mtu wa aina hiyo? Sihitaji pesa ya mwanamke lakini basi walau mambo mengine aweze kujisimamia mwenyewe sio kunitolea macho tu mimi,watoto wangu wafanye nini?
Kwa mfano bht mbaya,umetoka duniani..atalea vp watoto kwa akili hizo.
 
Mapenzi yamekosa ladha baada ya mwanamke kuanza kuutumia utupu wake kama chanzo chake cha mapato na sio kwa ajili ya kustarehe......

Wewe unahangaika kumridhisha yeye anawaza akuombe hela akanunue nywele za bandia.......akitoka hapo anasema vijana wa siku hizi hawawezi kazi.....kumbe yeye ndio yupo kazini......
 
Kwa mfano bht mbaya,umetoka duniani..atalea vp watoto kwa akili hizo.
Hata ukisafiri tu kwenda mbali ukawa haupatikani hewani Kwa muda Fulani,utakuta keshaolewa tena au ana mabwana mtaa mzima maana kwake yeye,mwanaume ndie chanzo cha mapato pekee kinachoaminika. Ni kazi sana kuishi na mwanamke mwenye mentality ya utegemezi.
 
Au umeenda jela hata kwa kesi ya kusingiziwa..ukitoka ujue huna chako..wajinga sana hawa...mm nazidi kusisitiza..kuku wa kike mwenyewe kawazidi akili..anajituma kutafuta chakula,anawalisha watoto wake..tena hamsubili jogoo.
 
Siku hizi akili ni kuwa na timing ya kumchinja Kobe tu, ukiliwa imekula kwako. Wanaume washapigwa saaaaaana, wamenyooshwa kweli kweli, mpaka wameshtuka... Sasa ni zamu yenu kunyooshwa, sio kwamba watu ni mabahili, hapana! Walishakoseaga kuwagharamia watu wasio na shukrani halafu papuchi mnazitunuku kwe wengine, nw hawarudii makosa tena,.. Mapenzi yenyewe hayapo kwa nn ukae tena.
 
Mnatuchosha na mishida yenu. Sisi Sio Baba zenu. I wish siku moja wanaume wote wagome kwenye kila kitu afu tuone nini kitatikea[emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Threads za vilio (from both KE and ME) zimekuwa nyingi sana nowadays. Sijui hii ina correlation na utumbuaji wa wafanyakazi hewa? Ngoja nipite tu.
 
Maskini Nguzo Mama..chini imejilalia..twaibishwa ukombozi wa maneno na huku fikra zetu zingali giza...Yelele Mama "tuendelee kucheza Ngoma".
 
Ni ishu kwakweli mtu ambae hajiongezi ndo maana nasema natafuta changu watoto nshasema wangu wawili akihitaji zaidi atawatafuta. Ninaoweza watunza Ni hao tu. Mwenye akili kaelewa
 
Au umeenda jela hata kwa kesi ya kusingiziwa..ukitoka ujue huna chako..wajinga sana hawa...mm nazidi kusisitiza..kuku wa kike mwenyewe kawazidi akili..anajituma kutafuta chakula,anawalisha watoto wake..tena hamsubili jogoo.
Not all wajinga chagua tyoe ya wanawake unaodate nao.... Wengine wanasaidiana equally na wanawake wengine wana hudumia vizur tuu...
System nzur ni kusaidiana wote... So plz usitumie experience yako ukafikiri wote wako ivo... Alaf pia sioni tatizo ukimhudumia the woman you love..ni kawaida tuu...
 
Wanaume wengi wanaona kazi kuwahudumia wanawake ni kweli ila sio kazi kumhudumia mke au mpenz mmoja... Tatizo kipato hakilingani na utapanyaji wa pesa kwa wanawake.
Ila mwanaume mwenye kipato cha 5000 kwa siku hashindwi kumhudumia mkewe..
 
Back
Top Bottom