Kumvumilia mwanaume bahili ni kipaji

Kumvumilia mwanaume bahili ni kipaji

Ni kweli s

Nakubaliana nawe kuwa wanaume wakati mwingine hatutendi haki kabisa kwa ama kwa wake/gelofulendi au michepuko.Tuwape sapoti ili waongeze bidii,tunataka kula tu bila kuliwa
Wewe unakula nn kutoka kwa demu wako..kiasi cha kuhitajika kuliwa???
 
I don't support hii kitu jamani...hii ya kuwa kisa ni ' boyfriend' wako basi a-provide hahahaa..Poor mentality.
Malalamiko kama haya huwezi kuyasikia kutoka kwa ' Mwanamke' ambae anajua kuridhika,na anajielewa.
 
mie natoa kwa Moyo wangu na upendo kwake ata akinipigia simu kuwa amepungukiwa na kiasi flan kuna kitu anaitaji kama nakuwa na pesa namtumia au km sina namwambia na yeye anaelewa kuwa kweli sina
Na wewe ukiwa na shida..yeye ana pesa..anakusaidia??
 
Hizo haja ndogondogo yeye hakutimizii? Fanya kazi...maisha ngumu, mtu akupe utamu na akutwike burungutu la fedha? Washamba wa namna hiyo wamebaki wachache...
Suluhisho: Tafuta mume akuoe...utahudumiwa mahitaji yako yote hadi yale makubwamakubwa! hutaki kuolewa, basi utafute kazi ya kufanya uweze jihudumia mwenyewe!
kumbuka: Papuchi si mtaji...ukiwaza kuwa papuchi ni mtaji, utakufa masikini!!!
 
Anza wewe kuvunja ukimya..ondoa ubahili kwake..mpe pesa..uone reaction..no free ride nowdays...otherwise mnauza papuchi..wekeni price tag kabisa.
mi mbona natoa sana kwani shilingi ngapi?

kusaidiana ndo mpango kakaaaa!!

mapenzi sio pesa Ila mjali mwenzio!
 
I don't support hii kitu jamani...hii ya kuwa kisa ni ' boyfriend' wako basi a-provide hahahaa..Poor mentality.
Malalamiko kama haya huwezi kuyasikia kutoka kwa ' Mwanamke' ambae anajua kuridhika,na anajielewa.
Tunapaswa kutegemeana akiwa na shida msaidie ukiwa nayo akusaidie!
 
ndo nachozungumzia mie hapa kakaa!!

tatizo mnapaniki sana!

mnahisi kila mwanamke akizungumzia mwanaume anajiuza!
Aahah kama wewe unampa pesa akiwa na shida na yeye hakupi..huyo mwanaume ana shida au hakupendi.
 
Fanya kazi acha kutegemea papuchi,utalia lia kila siku
Papuchi ukitegemea kucomplain & condemn hakuwezi kuisha coz kugegeduana its a natural call awa viumbe hawaelewi wacha wategemee tu hiyo papuchi watagegeduliwa tu na kuachwa wakicomplain hadharani
 
Tunapaswa kutegemeana akiwa na shida msaidie ukiwa nayo akusaidie!
Hapo sawa...lakini sio kwamba,atoe hela ya pad,hela ya nywele,hela ya chupi,nauli....nk wakati una kazi yako. Unamgeuza mtu baba yako...hapo hujaolewa. Akikutana na mwanamke anaejua kusoma alama za nyakati unanyang'anywa tonge mdomoni...unaishia kulalama tu 'oooh kanipotezea muda,ooh hajatulia...' Kumbe umeyataka .
 
Back
Top Bottom