ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,017
- 128,708
Very poor mentality. Huna wazazi? Au wewe yatima?
Hili swala la pesa naona linaanza kuchuja sasa, work hard young lady. Maisha ya "kukaa barazani" karne hii ni kuutafuta umasikini tu. Saidiana na mwenzako kutafuta maisha, ukitegemea akupe hadi sanitary pads utaishia umasikini tu.