Ukiwa mtamu na mnato hutakua na haja ya kuanzisha thredi humu.Hivi inapata gelofrend au mke anakujali kwa haja zako ndogo ndogo kwa kujituma kwa hali ya juu. Sasa kweli unashindwa kumtimizia mahitaji yake basi hata yale madogodogo kama kumnunulia pads, perfume, hujui anakula nini, analala wapi/ analalaje (sio lazima ulipe kodi) kama ana kagari mjazie hata mafuta n.k
Basi wapenda miteremko na wasiopenda majukumu watamind......wala sijali ila UKITAKA NG'OMBE WAKO ATOE MAZIWA MAZURI MTUNZE
ila na nyie mara zingine mmezidi duuuHivi inapata gelofrend au mke anakujali kwa haja zako ndogo ndogo kwa kujituma kwa hali ya juu. Sasa kweli unashindwa kumtimizia mahitaji yake basi hata yale madogodogo kama kumnunulia pads, perfume, hujui anakula nini, analala wapi/ analalaje (sio lazima ulipe kodi) kama ana kagari mjazie hata mafuta n.k
Basi wapenda miteremko na wasiopenda majukumu watamind......wala sijali ila UKITAKA NG'OMBE WAKO ATOE MAZIWA MAZURI MTUNZE
Tutanzane bibiye..huoni raha kutunzana??Wanaume wa sikuhizi wanapenda mteremko sana aisee ndo mana wako radhi mdada awe na wakumtunza yeye amtumie tu
Sasa tunahudumiana kama wote tunapiga kazi..Kuhudumiwa ni kawaida sana na mwanaume kumhudumia mwanamke anaempenda ni jambo LA kawaida ila mwanamke kubweteka kupita kiasi na kuwa tegemezi kama mtoto ni mwanzo Wa kuchokwa.
Love is caring both sides.We we ni mwanaume mzuri unajielewa aisee love is caring
Wanaume wanazijua mbinu hizo kabla hata ya wao kuzijua???Nitafute nikupe mbinu 40 za kuchuna buzi, wanaume wa sasa wanahtaj mbinu nying kumtoboa pesa, sio kitandan tu (ngono)
Na hapo anakuwa ameuzaUkiwa mtamu na mnato hutakua na haja ya kuanzisha thredi humu.
Utalipwa kutokana na utamu utoao.
Nimekuelewa sana live long kama mtu nampenda nipo tayali ku donate last drop of my blood ukiona hupew ujue huna vigezo ww ni chapa ilaleUkiona hupewi kitu na mtu wako ujue hana na kama ana hela nawewe hupati ujue hujakidhi vigezo vya kumfanya akupe.
Basi wewe una roho mbaya na ni mbinafsi, sasa unataka akupe wewe unampa nn???Kwa mfano kama mimi, mwanaume wangu namkopesha sio kumpa bure ila yeye lazima anipe
Unamkopesha kwani wewe bank?? Akitaka kukopa anaenda bank...sasa kama ww unamkopesha mpenzi wako..yeye akikukopesha utakubali??? Kumbuka hv sasa haki sawa.Ubahili wa pesa ama? Mi sio bahili kwa kumkopesha
Sasa wewe umekuwa shimo la taka mpaka unuke..ukioga vizuri.utaendelea kunuka kama shombo la samaki??..anyway kuna shida gani wewr kununua perfyumu kwa hela yako..maana utamu mnapata wote???Bila izo perfume mkuu si ntanuka kikwapa utaanza kubwabwaja uku jf mara ooh manzi wangu mchafu mara ananuka kikwapa...akuu shurti nkuvutie
Nn maana ya mwanaume kuitwa kichwa cha familia???? Afu kwani suala la kukopeshana haliko kwa watu adi bank? Ujawai kuazima ela kwa mtu? Kama ujawai basi ujue huna elaUnamkopesha kwani wewe bank?? Akitaka kukopa anaenda bank...sasa kama ww unamkopesha mpenzi wako..yeye akikukopesha utakubali??? Kumbuka hv sasa haki sawa.
Mwanamke shurti kunukia babu weee sio unatoka ndani unanuka sabuni uliyoogeaSasa wewe umekuwa shimo la taka mpaka unuke..ukioga vizuri.utaendelea kunuka kama shombo la samaki??..anyway kuna shida gani wewr kununua perfyumu kwa hela yako..maana utamu mnapata wote???
Kichwa kazi yake kuongozaNn maana ya mwanaume kuitwa kichwa cha familia???? Afu kwani suala la kukopeshana haliko kwa watu adi bank? Ujawai kuazima ela kwa mtu? Kama ujawai basi ujue huna ela
Ndio ununue kwa hela yako..shida iko wapi..kwani dhambi???Mwanamke shurti kunukia babu weee sio unatoka ndani unanuka sabuni uliyoogea
daaa nimecheka sana,Ni kipaji maalumu, mwanaume bahili hana tofauti na tetemeko