souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,104
Neno Haki sawa mnataka liwe na maeneo maalum tu? Pia kumvumilia mwanamke tegemezi ni kipaji pia
pata likes billion 1000 King'astiWewe mwenyewe unapenda mteremko, halafu unawasema wanaume wanajipenda mteremko.
Tafuta financial freedom. Unafurahia maisha kwa raha zako. Ukiwa girlfriend Mie sioni sababu ya kulipisha Mtu bills zako. Ukiwa mke kuna basics ambazo mume atalipia kama nyumba (ili apaite kwake) Na bills zake. Akikuspoil Mara moja moja Na zawadi Na nguo inatosha. Halafu usisahau Na yeye kumspoil pia, love is about give and take
Wapo humu wengi tu wapenda kitonga, ila wanavyopenda papuchi sasa.
Raha ya kuwa na mwanaume akutunze hata akikuletea chupi ya buku roho inatulia.
Ndugu yangu wanawake wengi wana tabia ya "changu changu chako chetu" ila kwenye mtoto ndio utasikia mwanao anataka hela akanunue nguoSasa wewe kwani haufanyi kazi??
Had pichu, cndria, tight blauz gaun sket anunue me ksa papuch ? Kwan ke ni mfugo had asubr me aletee yeye @ kitu ? Inabd ke naye ashughulike achen izooo ! Lol mm cwez hudu100 Ke @ kit, km hawez kujhudu100 japo kdog mkono wangu utaendelea kuwa msaada ajab [emoji58] [emoji58] oouuuhh shitttttHivi inapata gelofrend au mke anakujali kwa haja zako ndogo ndogo kwa kujituma kwa hali ya juu. Sasa kweli unashindwa kumtimizia mahitaji yake basi hata yale madogodogo kama kumnunulia pads, perfume, hujui anakula nini, analala wapi/ analalaje (sio lazima ulipe kodi) kama ana kagari mjazie hata mafuta n.k
Basi wapenda miteremko na wasiopenda majukumu watamind......wala sijali ila UKITAKA NG'OMBE WAKO ATOE MAZIWA MAZURI MTUNZE