Kumvumilia mwanaume bahili ni kipaji

Kumvumilia mwanaume bahili ni kipaji

Sista

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
3,208
Reaction score
1,038
Hivi inapata gelofrend au mke anakujali kwa haja zako ndogo ndogo kwa kujituma kwa hali ya juu. Sasa kweli unashindwa kumtimizia mahitaji yake basi hata yale madogodogo kama kumnunulia pads, perfume, hujui anakula nini, analala wapi/ analalaje (sio lazima ulipe kodi) kama ana kagari mjazie hata mafuta n.k

Basi wapenda miteremko na wasiopenda majukumu watamind......wala sijali ila UKITAKA NG'OMBE WAKO ATOE MAZIWA MAZURI MTUNZE
 
Hivi inapata gelofrend au mke anakujali kwa haja zako ndogo ndogo kwa kujituma kwa hali ya juu. Sasa kweli unashindwa kumtimizia haja zake basi hata zile ndogondogo kama kumnunulia pads, perfume, hujui anakula nini, analala wapi/ analalaje (sio lazima ulipe kodi) kama ana kagari mjazie hata mafuta n.k

Basi wapenda miteremko na wasiopenda majukumu watamind......wala sijali ila UKITAKA NG'OMBE WAKO ATOE MAZIWA MAZURI MTUNZE
Mm nataka kujua hizo haja ndogo unazonijali mm mwanaume wako ni zipi hasa??? Tuanzie hapo
 
Nimeshaanza kuhesabu wapenda mteremko
 
Kuna wanawake dizaini flani hivi ni kero...yani always anawaza namna gani atapata mahitaji yake from men, badala ya kuwaza namna gani mtapanga malengo ya maendeleo....na namna utakayo changia katika hayo maendeleo.... We unawaza takataka Mara pafyumu.......

Kua makini utakuwa unaachwa deile....
 
Magu kakaba naona wadada mnalalamika sana siku hizi!!? Bora kamchepuko kangu nakatunza vzr
 
Hivi inapata gelofrend au mke anakujali kwa haja zako ndogo ndogo kwa kujituma kwa hali ya juu. Sasa kweli unashindwa kumtimizia mahitaji yake basi hata yale madogodogo kama kumnunulia pads, perfume, hujui anakula nini, analala wapi/ analalaje (sio lazima ulipe kodi) kama ana kagari mjazie hata mafuta n.k

Basi wapenda miteremko na wasiopenda majukumu watamind......wala sijali ila UKITAKA NG'OMBE WAKO ATOE MAZIWA MAZURI MTUNZE
Yaani ukishakuwa gelofrend ndio tikiti ya kupewa mahitaji madogo madogo???!! We inaonekana umeifanya kitega uchumi!!! Si vibaya ukiifungulia ofisi ulipe kodi

Na vipi yeye boifrend anazipata wapi pesa ambako huwezi kufika wewe ?! Tafuta ajira hiyo itakuuwa.
 
hivi hao jamaa hawapendi kabsa girl wao wapendeze maana mile nikiwa njiani nikionaga kiatu au nguo mzur nanunua nampelekea had I raha akipendeza
Kama umefanya kwa moyo si kwa kulazimishwa..haina shida

Ila na yeye akiona kitu kizuri cha kukupendeza akakununulia tena kwa pesa yake..inakuwa njema zaidi..hayo ndiyo mapenzi..mapenzi kutoa na kupewa..sio kupewa tu..au kutoa tu.
 
Back
Top Bottom