Kumuondoa Rais Madarakani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumuondoa Rais Madarakani

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by MAMA POROJO, Apr 20, 2012.

 1. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  [FONT=&amp]46A[/FONT][FONT=&amp].-(1) Bila ya kujali masharti ya ibara ya 46 ya Katiba hii,[/FONT]
  [FONT=&amp]Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa Rais madarakani[/FONT]
  [FONT=&amp]endapo itatolewa hoja ya kumshtaki Rais na ikapitishwa kwa[/FONT]
  [FONT=&amp]mujibu wa masharti ya ibara hii.[/FONT]

  [FONT=&amp](2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya ibara hii, hoja[/FONT]
  [FONT=&amp]yoyote ya kumshtaki Rais haitatolewa isipokuwa tu kama[/FONT]
  [FONT=&amp]inadaiwa kwamba Rais-[/FONT]

  [FONT=&amp]Sheria ya …. [/FONT][FONT=&amp](a) ametenda vitendo ambavyo kwa jumla vinaivunja[/FONT]
  [FONT=&amp]Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma;[/FONT]

  [FONT=&amp](b) ametenda vitendo ambavyo vinakiuka maadili[/FONT]
  [FONT=&amp]yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya siasa[/FONT]
  [FONT=&amp]yaliyotajwa katika ibara ya 20(2) ya Katiba, au[/FONT]

  [FONT=&amp](c) amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais[/FONT]
  [FONT=&amp]wa Jamhuri ya Muungano, na haitatolewa hoja ya[/FONT]
  [FONT=&amp]namna hiyo ndani ya miezi kumi na miwili tangu hoja[/FONT]
  [FONT=&amp]kama hiyo ilipotolewa na ikakataliwa na Bunge.[/FONT]

  [FONT=&amp](3) Bunge halitapitisha hoja ya kumshtaki Rais isipokuwa tu[/FONT]
  [FONT=&amp]kama-[/FONT]

  [FONT=&amp](a) taarifa ya maandishi, iliyotiwa sahihi na kuungwa[/FONT]
  [FONT=&amp]mkono na Wabunge wasiopungua asilimia ishirini ya[/FONT]
  [FONT=&amp]Wabunge wote itawasilishwa kwa Spika siku[/FONT]
  [FONT=&amp]thelathini kabla ya kikao ambapo hoja hiyo[/FONT]
  [FONT=&amp]inakusudiwa kutolewa Bungeni, ikifafanua makosa[/FONT]
  [FONT=&amp]aliyoyatenda Rais, na ikipendekezwa kuwa Kamati[/FONT]
  [FONT=&amp]Maalum ya Uchunguzi iundwe ili ichunguze[/FONT]
  [FONT=&amp]mashataka yaliyowasilishwa dhidi ya Rais;[/FONT]

  [FONT=&amp](b) wakati wowote baada ya Spika kupokea taarifa[/FONT]
  [FONT=&amp]iliyotiwa sahihi na Wabunge na kujiridhisha kuwa[/FONT]
  [FONT=&amp]masharti ya Katiba kwa ajili ya kuleta hoja[/FONT]
  [FONT=&amp]yametimizwa, Spika atamruhusu mtoa hoja[/FONT]
  [FONT=&amp]kuiwasilisha hoja hiyo, na kisha Spika atalitaka[/FONT]
  [FONT=&amp]Bunge, bila ya kufanya majadiliano, lipige kura juu ya[/FONT]
  [FONT=&amp]hoja ya kuunda Kamati Maalum ya Uchunguzi na[/FONT]
  [FONT=&amp]kama ikiungwa mkono na Wabunge waiopungua[/FONT]
  [FONT=&amp]theluthi mbili ya Wabunge wote atatangaza majina ya[/FONT]
  [FONT=&amp]wajumbe wa Kamati Maalum ya Uchunguzi.
  [/FONT]
  [FONT=&amp](4) Kamati Maalum ya Uchunguzi, kwa madhumuni ya ibara[/FONT]
  [FONT=&amp]hii, itakuwa na wajumbe wafuatao, yaani-[/FONT]

  [FONT=&amp](a) Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, ambaye[/FONT]
  [FONT=&amp]atakuwa ndiye Mwenyekiti wa Kamati;[/FONT]

  [FONT=&amp](b) Jaji Mkuu wa Tanzania Zanzibar na
  [/FONT]
  [FONT=&amp](c) Wajumbe saba walioteuliwa na Spika kwa mujibu wa[/FONT]
  [FONT=&amp]Kanuni za Bunge na kwa kuzingatia uwiano wa[/FONT]
  [FONT=&amp]uwakilishi baina ya vyama vya siasa[/FONT]
  [FONT=&amp]vinavyowakilishwa Bungeni.[/FONT]

  [FONT=&amp](5) Endapo Bunge litapitisha hoja ya kuunda Kamati Maalum[/FONT]
  [FONT=&amp]ya Uchunguzi, Rais atahesabiwa kuwa hayupo kazini, kisha kazi[/FONT]
  [FONT=&amp]na madaraka ya Rais yatatekelezwa kwa mujibu wa masharti ya[/FONT]
  [FONT=&amp]ibara ya 37(3) ya Katiba hii hadi Spika atakapomfahamisha Rais[/FONT]
  [FONT=&amp]juu ya azimio la Bunge kuhusiana na mashataka yaliyotolewa[/FONT]
  [FONT=&amp]dhidi yake.[/FONT]

  [FONT=&amp](6) Ndani ya siku saba baada ya Kamati Maalum ya Uchuguzi[/FONT]
  [FONT=&amp]kuundwa, itakaa ichunguze na kuchambua mashataka dhidi ya[/FONT]
  [FONT=&amp]Rais, pamoja na kumpatia Rais fursa ya kujieleza, kwa kufuata[/FONT]
  [FONT=&amp]utaratibu uliowekwa na Kanuni za Bunge.[/FONT]

  [FONT=&amp](7) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile katika muda[/FONT]
  [FONT=&amp]usiozidi siku tisini, Kamati Maalum ya Uchunguzi itatoa taarifa[/FONT]
  [FONT=&amp]yake kwa Spika.[/FONT]

  [FONT=&amp](8) Baada ya Spika kupokea taarifa ya Kamati Maalum ya[/FONT]
  [FONT=&amp]Uchunguzi, taarifa hiyo itawasilishwa Bungeni kwa kufuata[/FONT]
  [FONT=&amp]utaratibu uliowekwa na Kanuni za Bunge.[/FONT]

  [FONT=&amp](9) Baada ya taarifa ya Kamati Maalum ya Uchunguzi[/FONT]
  [FONT=&amp]kuwasilishwa kwa mujibu wa ibara ndogo ya (8), Bunge litaijadili[/FONT]
  [FONT=&amp]taarifa hiyo na litampa Rais fursa ya kujieleza, na kisha, kwa kura[/FONT]
  [FONT=&amp]za Wabunge wasiopungua theluthi mbili ya Wabunge wote,[/FONT]
  [FONT=&amp]Bunge litapitisha azimio ama kuwa mashtaka dhidi ya Rais[/FONT]
  [FONT=&amp]yamethibitika, na kwamba hastahili kuendelea kushika kiti cha[/FONT]
  [FONT=&amp]Rais, au kuwa mashtaka hayo hayakuthibitika.[/FONT]

  [FONT=&amp](10) Endapo Bunge litapitisha azimio kuwa mashtaka dhidi ya[/FONT]
  [FONT=&amp]Rais yamethibitika na kwamba hastahili kuendelea kushika kiti[/FONT]
  [FONT=&amp]cha Rais, Spika atawafahamisha Rais na Mwenyekiti wa Tume[/FONT]
  [FONT=&amp]ya Uchaguzi juu ya azimio la Bunge, na hapo Rais atawajibika[/FONT]
  [FONT=&amp]kujiuzulu kabla ya kuisha kwa siku ya tatu tangu Bunge[/FONT]
  [FONT=&amp]lilipopitisha azimio hilo.
  [/FONT]
  [FONT=&amp](11) Endapo Rais ataacha kushika kiti cha Rais kutokana na[/FONT]
  [FONT=&amp]mashataka dhidi yake kuthibitika, hatakuwa na haki ya kupata[/FONT]
  [FONT=&amp]malipo yoyote ya pensheni wala kupata haki au nafuu nyinginezo[/FONT]
  [FONT=&amp]alizo nazo kwa mujibu wa Katiba au Sheria yoyote iliyotungwa na[/FONT]
  [FONT=&amp]Bunge.[/FONT]
   
 2. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,960
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Penye rangi nyekundu, JK bado hana sifa za kudhalilisha kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano?

  - Kutoa msamaha kwa wezi wa pesa za EPA kabla ya kufikishwa mahakamani na kuhukumiwa.
   
Loading...