Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, Bunge linaweza kumwondoa madarakani Rais

Rais wa Tanzania ana nguvu sana
1) Yeye ni mwenyekiti wa CCM hivyo akihisi kuwa kunaweza kutokea figisufigisu ndani ya chama anaifukuza sekretarieti ya chama keshamaliza.

2) Akiona mwenyekti wa tume ya uchaguzi hamtangazi kuwa yeye ndiye mshindi kipindi cha uchaguzi mkuu basi anamfukuzia mbali kwakuwa yeye ndiye aliyemteua na hakuna michakato.

Bunge likizingua yeye anaweza kuamka asubuhi na kulivunja ndani ya dakika tano. Nyie mnachukua nusu mwaka? Yeye ndani ya dakika mbili tu anamaliza kazi.
 
Ibara ya 46A YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, 1977; INAYOHUSU KUMUONDOA MADARAKANI (IMPEACHMENT) RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 [Cap. 2 R.E. 2002.]

ZOEZI HILI HUCHUKUA JUMLA {KAMA KILA KITU KINAKWENDA SAWA - ceteris paribus} YA SIKU 150 au miezi mitano. Kwa mfano huu mchakato ukianza leo, mwezi wa tano Raisi anakuwa kaondolewa.

Rais (Mhimili wa Utawala) anaweza kuondolewa madarakani chini ya Ibara hii kwa tuhuma za aina nne:
- kuvunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
- Kukiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi [Leadership Code]
- Kukiuka vipengele vilivyomo katika maadili yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya Siasa yaliyotajwa katika Ibara ya 20 (2) ya Katiba, au
- Amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

1. Ili kuanzisha mchakato huo inahitaji idadi ya asilimia 20 (20%) ya Wabunge waliopo wafikishe Notisi ya maandishi na kuiwasilisha kwa Spika. Siku 30 zipite kabla ya kikao cha kujadili hizo tuhuma: ( wabunge wa CDM pekee wanatosha kufika 20% (

2. Baada ya kupita hizo siku 30, MTOA HOJA ATAIWASILISHA BUNGENI.

-Aidha tuhuma zitupwe au
- Wapendekeze kuunda Kamati ya Kuchunguza tuhuma hizo.

3. Bunge litapiga kura ili iundwe Kamati ya Kuchunguza tuhuma hizo; lakini kura hizo lazima zifikie au zizidi theluthi mbili ya kura zote. Kama ndio,

4. Spika anatakiwa kutaja majina ya Kamati ya Uchunguzi chini ya Ibara ya 46A(4) ambao ni:
(a) Jaji Mkuu (Mwenyekiti)
(b) Jaji Mkuu wa Zanzibar
(c) Wajumbe saba wanaoteuliwa na Spika; kwa kuzingatia Kanuni za Bunge na Uwakilishi wa Vyama vya Siasa Bungeni.

Matokea ya No. 3 hapo juu chini ya Ibara 46A (5) ni kwamba

- RAis anasimamishwa kazi
- Vivyo Ibara ya 37 (3) inafanya kazi. (Edapo Rais hatakuwepo madarakani wakati huo)

Jambo hili la kumsimamisha kazi Rais litaendelea hadi hapo Spika atakapomfahamisha Rais juu ya matokeo ya uchunguzi uliofanywa [Ibara ya 46A (5)]

Na. 4 hapo juu Kamati inapewa siku 7 kukamilisha uchunguzi wake na kumpa fursa Rais ya kujieleza [Ibara ya 46A (6)]

Kamati ya uchunguzi inapewa siku 90 kukamilisha ripoti yake na kuiwasilisha kwa Spika.

Ibara ya 46A (8) - Spika anawasilisha Ripoti ya Uchunguzi kwa Bunge

Ibara ya 46A (9) - Bunge lenye idadi isiyopungua theluthi mbili litajadili Ripoti hiyo na kumpa Rais fursa ya kujieleza.

Bunge linatakiwa liibuke na aidha ya majibu yafuatayo:

(i) Kwamba tuhuma zimethibitishwa.
(ii) Kwamba Rais hafai kuendelea kufanya kazi
(iii) Kwamba Rais hafai kuwa Rais
(iv) Kwamba tuhuma hazikuthibitishwa.

Ibara 46A(10) - Baada ya hilo kufanyika, endapo ni (i) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatakiwa kuachia ngazi (resign) ndani ya siku tatu.

MCHAKATO HUO WOOOOTE ULIOTAJWA HAPO JUU UKIFUATAWA KAMA UNAVYOTOLEWA kisheria unatakiwa kumalizika ndani ya siku 150 sawa sawa na miezi 5 kamili.
Rudia hizo sababu zinazomfanya rais awekewe hoja ya kuondolewa nyazifa hiyo. Ukielewa vizuri tuambie kipi haswa kakivunja.
 
mmeshindwa kumtoa waziri mkuu mtaweza kwa raisi.....mjipange tena si kidogo mkianza na kuondoa maigizo yenu ya ben saanane na mbowe et all
Hata kama hawakufanikiwa lakini ujumbe ulifika na tuliona alivyobadilika.
 
Ikitokea nitafanya sherehe kubwa sana
Ila atakae peleka hiyo point ajiandae kufa muda wowote ule
 
Sasa mtu anaakili kama hizi, unategemea tuwe na katiba ya aina gani ikiwa huyu ni kada ??!!!!!
Haha watanzania bwana, yaani anaona kumwambia mwenzake kua hanaakili ndio kayafanikisha maisha yake! Mimi kutokua na akili kama unavyosema hakujufanyi wewe kua na akili! Haha kamanda bwana!
 
Hatuitaji kumuondoa laisi lakni kama akikosea anakhi yakuondolewa.. Lakini anaondolewa kwa bunge gani? Hivi watamzania bado mnaimani nabunge hili mpakasasa.. Hilihili bunge limefungiwa kuoneshwa na wabunge wa ccm wanipga makofi wakisema nitendo jema.. Je hawa ndio wawenamawazo ya kumuondoa laisi .. Hizi ni hadisi.. hatakama akitokea laisi dikiteta akawa anauwa watu hazalani hakuna mbunge yoyote wa ccm anaweza kulisemea hilo maana kazi yawabunge wa ccm nikupiga makofi bungeni nakushukulu
 
Hatuna wabunge wenye ujasiri wa kufanya hivyo, si wa ccm wala upinzani, wabunge wetu wote ni wachumia tumbo. Najua kuna mijitu itanibeza lakini ukweli ndiyo huo.
 
Jf hakukuwa na nyuzi za aina hii huko nyuma,kuna tatizo either kwa Rais au baadhi ya wanachama humu.Ila tatizo linajulikana lilipo kwa wenye fikra zao.
 
Kwanza kwamjibu wakatiba kabla hamjaanza figisu figisu zakumuondoa laisi.. Laisi anayo mamulaka yakulivunja bunge nakila mtu akaludi kwao.. Hiyo ndio nguvu ya laisi watanzania..labda watu mmesahau kuusu muungano wabunge wa tanganyika walipinga muungano lakini mueshimiwa wakipindi hicho aliwapa tahazali kama wasipokubaliana nayeye atavunja bunge. Kwamamlaka yake aliokuanayo
 
Mtoa mada una maana gani? Hatatoka hadi 2020... Na tutamlinda na kumuombea kwa Mungu kila Mara. Ngoja tuzoee kuishi maisha halisia mambo mengine yapumzike kwanza
 
Hata kama hawakufanikiwa lakini ujumbe ulifika na tuliona alivyobadilika.
Na hiyo ndio dawa ya kumrudisha kwenye mstari. Kitendo hicho kinaifanya dunia itambue yale yaliyo chini ya kapeti. Juzi Israel wamesema wanamchunguza Netanyau na tuhuma za rushwa. Nina hakika tuhuma hizo atashinda lakini hiyo inamfanya asijione juu ya kila kitu.
Hata huyu akisikia imeundwa kamati ya kuchunguza tuhuma zinazomhusu, basi ule Umungu mtu kwa kawaida ya kibinadamu unamtoka. Hizi tabia anazofanya zinatokana na watu kujenga tabia ya kumuogopa. Unadhani ule ujumbe wa Mange kuhusu aliyetaka kujiuzulu kwa kufokewa fokewa haukuwa na ukweli kiasi fulani? Kulikuwa na jambo, na kukomesha tabia ile alitakiwa mama ajitokeze na kusema kuwa ndio nilitaka kujiuzulu lakini tofauti tumezirekebisha hiyo ndio dawa. Sio kukanusha kisha unaendelea kudharauliwa wakati mtu katika kura zile zingine zilipatikana kutokana na wewe kuwa mwenza.
 
Ibara ya 46A YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, 1977; INAYOHUSU KUMUONDOA MADARAKANI (IMPEACHMENT) RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 [Cap. 2 R.E. 2002.]

ZOEZI HILI HUCHUKUA JUMLA {KAMA KILA KITU KINAKWENDA SAWA - ceteris paribus} YA SIKU 150 au miezi mitano. Kwa mfano huu mchakato ukianza leo, mwezi wa tano Raisi anakuwa kaondolewa.

Rais (Mhimili wa Utawala) anaweza kuondolewa madarakani chini ya Ibara hii kwa tuhuma za aina nne:
- kuvunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
- Kukiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi [Leadership Code]
- Kukiuka vipengele vilivyomo katika maadili yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya Siasa yaliyotajwa katika Ibara ya 20 (2) ya Katiba, au
- Amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

1. Ili kuanzisha mchakato huo inahitaji idadi ya asilimia 20 (20%) ya Wabunge waliopo wafikishe Notisi ya maandishi na kuiwasilisha kwa Spika. Siku 30 zipite kabla ya kikao cha kujadili hizo tuhuma: ( wabunge wa CDM pekee wanatosha kufika 20% (

2. Baada ya kupita hizo siku 30, MTOA HOJA ATAIWASILISHA BUNGENI.

-Aidha tuhuma zitupwe au
- Wapendekeze kuunda Kamati ya Kuchunguza tuhuma hizo.

3. Bunge litapiga kura ili iundwe Kamati ya Kuchunguza tuhuma hizo; lakini kura hizo lazima zifikie au zizidi theluthi mbili ya kura zote. Kama ndio,

4. Spika anatakiwa kutaja majina ya Kamati ya Uchunguzi chini ya Ibara ya 46A(4) ambao ni:
(a) Jaji Mkuu (Mwenyekiti)
(b) Jaji Mkuu wa Zanzibar
(c) Wajumbe saba wanaoteuliwa na Spika; kwa kuzingatia Kanuni za Bunge na Uwakilishi wa Vyama vya Siasa Bungeni.

Matokea ya No. 3 hapo juu chini ya Ibara 46A (5) ni kwamba

- RAis anasimamishwa kazi
- Vivyo Ibara ya 37 (3) inafanya kazi. (Edapo Rais hatakuwepo madarakani wakati huo)

Jambo hili la kumsimamisha kazi Rais litaendelea hadi hapo Spika atakapomfahamisha Rais juu ya matokeo ya uchunguzi uliofanywa [Ibara ya 46A (5)]

Na. 4 hapo juu Kamati inapewa siku 7 kukamilisha uchunguzi wake na kumpa fursa Rais ya kujieleza [Ibara ya 46A (6)]

Kamati ya uchunguzi inapewa siku 90 kukamilisha ripoti yake na kuiwasilisha kwa Spika.

Ibara ya 46A (8) - Spika anawasilisha Ripoti ya Uchunguzi kwa Bunge

Ibara ya 46A (9) - Bunge lenye idadi isiyopungua theluthi mbili litajadili Ripoti hiyo na kumpa Rais fursa ya kujieleza.

Bunge linatakiwa liibuke na aidha ya majibu yafuatayo:

(i) Kwamba tuhuma zimethibitishwa.
(ii) Kwamba Rais hafai kuendelea kufanya kazi
(iii) Kwamba Rais hafai kuwa Rais
(iv) Kwamba tuhuma hazikuthibitishwa.

Ibara 46A(10) - Baada ya hilo kufanyika, endapo ni (i) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatakiwa kuachia ngazi (resign) ndani ya siku tatu.

MCHAKATO HUO WOOOOTE ULIOTAJWA HAPO JUU UKIFUATAWA KAMA UNAVYOTOLEWA kisheria unatakiwa kumalizika ndani ya siku 150 sawa sawa na miezi 5 kamili.
Wewe mleta mada nakushauri uache kuota kuwa kitu kama hiki kinaweza kutokea ndani ya Tanzania. Ebu soma KATIBA ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania ya mwaka 1977 yote na hasa soma juu ya mamlaka aliyonayo Rais. Angalia muundo wa Bunge lako na mamlaka ya Bunge yakoje.Hiyo hoja itapokelewa na nani.
 
Ila sio bunge hili la Tz, bunge liko divided yaani hata sasa wakipiga kura unajua sisiemu wana ngapi na ukawa wana ngapi! Bado sana.
 
Ibara ya 46A YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, 1977; INAYOHUSU KUMUONDOA MADARAKANI (IMPEACHMENT) RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 [Cap. 2 R.E. 2002.]

ZOEZI HILI HUCHUKUA JUMLA {KAMA KILA KITU KINAKWENDA SAWA - ceteris paribus} YA SIKU 150 au miezi mitano. Kwa mfano huu mchakato ukianza leo, mwezi wa tano Raisi anakuwa kaondolewa.

Rais (Mhimili wa Utawala) anaweza kuondolewa madarakani chini ya Ibara hii kwa tuhuma za aina nne:
- kuvunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
- Kukiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi [Leadership Code]
- Kukiuka vipengele vilivyomo katika maadili yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya Siasa yaliyotajwa katika Ibara ya 20 (2) ya Katiba, au
- Amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

1. Ili kuanzisha mchakato huo inahitaji idadi ya asilimia 20 (20%) ya Wabunge waliopo wafikishe Notisi ya maandishi na kuiwasilisha kwa Spika. Siku 30 zipite kabla ya kikao cha kujadili hizo tuhuma: ( wabunge wa CDM pekee wanatosha kufika 20% (

2. Baada ya kupita hizo siku 30, MTOA HOJA ATAIWASILISHA BUNGENI.

-Aidha tuhuma zitupwe au
- Wapendekeze kuunda Kamati ya Kuchunguza tuhuma hizo.

3. Bunge litapiga kura ili iundwe Kamati ya Kuchunguza tuhuma hizo; lakini kura hizo lazima zifikie au zizidi theluthi mbili ya kura zote. Kama ndio,

4. Spika anatakiwa kutaja majina ya Kamati ya Uchunguzi chini ya Ibara ya 46A(4) ambao ni:
(a) Jaji Mkuu (Mwenyekiti)
(b) Jaji Mkuu wa Zanzibar
(c) Wajumbe saba wanaoteuliwa na Spika; kwa kuzingatia Kanuni za Bunge na Uwakilishi wa Vyama vya Siasa Bungeni.

Matokea ya No. 3 hapo juu chini ya Ibara 46A (5) ni kwamba

- RAis anasimamishwa kazi
- Vivyo Ibara ya 37 (3) inafanya kazi. (Edapo Rais hatakuwepo madarakani wakati huo)

Jambo hili la kumsimamisha kazi Rais litaendelea hadi hapo Spika atakapomfahamisha Rais juu ya matokeo ya uchunguzi uliofanywa [Ibara ya 46A (5)]

Na. 4 hapo juu Kamati inapewa siku 7 kukamilisha uchunguzi wake na kumpa fursa Rais ya kujieleza [Ibara ya 46A (6)]

Kamati ya uchunguzi inapewa siku 90 kukamilisha ripoti yake na kuiwasilisha kwa Spika.

Ibara ya 46A (8) - Spika anawasilisha Ripoti ya Uchunguzi kwa Bunge

Ibara ya 46A (9) - Bunge lenye idadi isiyopungua theluthi mbili litajadili Ripoti hiyo na kumpa Rais fursa ya kujieleza.

Bunge linatakiwa liibuke na aidha ya majibu yafuatayo:

(i) Kwamba tuhuma zimethibitishwa.
(ii) Kwamba Rais hafai kuendelea kufanya kazi
(iii) Kwamba Rais hafai kuwa Rais
(iv) Kwamba tuhuma hazikuthibitishwa.

Ibara 46A(10) - Baada ya hilo kufanyika, endapo ni (i) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatakiwa kuachia ngazi (resign) ndani ya siku tatu.

MCHAKATO HUO WOOOOTE ULIOTAJWA HAPO JUU UKIFUATAWA KAMA UNAVYOTOLEWA kisheria unatakiwa kumalizika ndani ya siku 150 sawa sawa na miezi 5 kamili.
Ndoto hizi.
 
Naanza kupata hisia
Humu ndani kuna watu wanalipwa na yule bwana mwenye uchu wa kuingia ikulu
Tuwe makini sana
Maana moja ya mikakati yake siku zote
Ni kununua vyombo ya habari
Haiwezekani mh Rais anajitahidi kufanya kazi kubwa
Ila watu wachache wao ni kukosoa tu kila kitu

Akili zako za kimasaburi,watu kila kona wanalalamika kuwa wanavunja katiba,anaondoa dhana ya utawala bora wewe unakenyua mdomo tu
 
Back
Top Bottom