Kumuoa binti msomi

Kumuoa binti msomi

Nina karibia kuoa mwanamke msomi kabisa muda si mwingi vijana msiogope kuo a mwanamke aliekuzid kidogo kielemu ila tafuta Alie na hofu na Mungu kwanza
Ukiona mbwa mwitu anamtetea kondoo tunasema ni mbinu yake kwenye kutafuta chakula. But ukiona kondoo anatetea mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya kondoo kuna mawili huyu kondoo hajajua kuwa anatetea kiumbe anaemdhuru sababu kajificha kwenye ngozi au ni basi kaamua kukubali kuliwa so anatetea upumbavu wake.

Jitafakari.
 
Mawazo yako uko free kuandika upendacho
 
Kwani aliyesoma 'k' yake inakuwa tamu kuliko ya yule ambaye hajasoma?
Kama 'k' zao wote utamu ni sawa nitaoa ambaye elimu yake ni ya kiwango cha chini
Mahusiano ni zaid ya k mkuu,kuwa na chemistry nzuri kuna feeling moja amazing sana
 
Hata vitabu vya dini vimeshauri tuoe wale tunaolingana na kufanana la sivyo ndio itaonekana ngumu
 
Kwa wanawake badhi akijua yes tu no wanabagua manaume as if wanachagua nazi sokono ilala boma
 
Yeah naelewa lakini dada hawa wasomi hupenda wavulana wasomi pia....ni ngumu kupata msichana aliye na elimu yake kaolewa na jamaa wa maskani asiye na elimu
Kweli, ataanza kuwa na inferiority na kuona anadharauliwa.
 
Mwanamke hakikisha anakuzidi makalio tu ila akikuzidi ela na kiwango cha elimu duuh hapo hatari
 
Back
Top Bottom