Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Unamuona huyo ni mwanaume?Hili neno 'my' sio sahihi kutumiwa na mwanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuona huyo ni mwanaume?Hili neno 'my' sio sahihi kutumiwa na mwanaume
Sema wanaume ambao hawajasoma tatizo lao liko hapo.Kama hujasoma tafuta ambaye hasoma au ana shule kidogo and vice versa,kusema ukweli mapenzi yananoga mkiwa na ile kuongea lugha moja sasa standard 7 na angalau diploma story zinaboa in a long run,hata mkifanya argument kuna mmoja atahiji anadharauliwa
Wanaume wanaooa wanawake waliowazidi elimu ni wajingaSema wanaume ambao hawajasoma tatizo lao liko hapo.
Hata arguments zao zinakuwaga za hovyo Sana halafu Mara nyingi wanashikilia Hilo la kutokusoma,mkikorofishana tu kidogo anachukulia kutokusoma kwake kama silaha yaani hata Kama mambo hayana uhusiano kabisa na shule yeye anaingiza St 7 Yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zote hudumu ila lazima mwanaume uwe na value added la sivyo ukubali mwanamke awe head of household hata kama unamzidi elimu na kipato. Mfano ni marehemu mkapa na AnnaDuuh! Well said
Unafikiri ni ndoa zipi hudumu
Za wanandoa wasomi ama zile za wanandoa wasio wasomi
Kama ni kuolewa niliolewa hujazaliwa na kama ni kuoa mke wangu kaishastaafu utumishi wa Umma. Dua lako limechelewa. Ukitaka mifano ya uzoefu wangu nakupaAtakae kuoa wewe ana hasara sana.
Mwanamke kabla ya mimba huwa mwangalifu sana (risk manager) ila akiwa single mother obvious anakuwa risk taker. Hana choice anayekuja mbele yake, twende kaziOf course wanawake kabla hawajapigwa zile mimba za kijinga huwa wanakuwa wana mawazo ya ramli sana. Wakishapigwa mimba ndio akili zinaanza kuwa active..... Wanakuwa wanafikiria sawa.
Zamani wanawake waliamini kuwa K ni kwa ajili ya kuzaa na kumridhisha mume. Baada ya Beijing, wanawake wakaanza kuamini kuwa K ipo kwa ajili ya kuenjoy na ni kitegauchumi kizuri tu - si pesa tu, bali kupata kazi, kupata ubunge, kushinda mitihani, kumpa traffic etcWazee wa zamani walipendana kwa moyo mmoja na kutafuta pesa pamoja wakifurahia mapenzi Leo hii imekuwa tofauti bila pesa no long lasting relationship
utanisamehe kama jinsia yako ni ya kiume maana niliona comment yako imekaa kike kike. Huna uzoefu wowote wa kunipa. Kuna mdau hapo juu amesema mwanaume akipata mke anae mzidi elimu anatakiwa ampate mwenye hofu ya mungu na huo, ndio ukweli wenyewe.Kama ni kuolewa niliolewa hujazaliwa na kama ni kuoa mke wangu kaishastaafu utumishi wa Umma. Dua lako limechelewa. Ukitaka mifano ya uzoefu wangu nakupa
Ukiona mtu anamtanguliza mungu, jua thinking capacity yake imegota. Unadhani mwenye hofu ya mungu huwa hana ubinadamu ni malaika? Ndoa ngapi za walokole zipo chali? By the way sitafuti umaarufu hapa ila najieleza wala mimi siyo lecturer wako ati ukubaliane na niyasemayo ili nikitoa end of semester exam upate A. Ni majadiliano tuutanisamehe kama jinsia yako ni ya kiume maana niliona comment yako imekaa kike kike. Huna uzoefu wowote wa kunipa. Kuna mdau hapo juu amesema mwanaume akipata mke anae mzidi elimu anatakiwa ampate mwenye hofu ya mungu na huo, ndio ukweli wenyewe.
Eti mwenye hofu ya mungu thinking capacity yake imegota! Kama huna reference ya kitu no bora ukae kimya maana Unaweza jivua nguo hadharani. Reference yangu ni ya mwanamke ambae sasa anachukua doctorate na mshahara wake ni over 40M kwa mwezi na ana heshima kwa mwanaume amabe ana kadigri kamoja na mshahara wa 5M. Asikwambie kitu mwanaume inatakiwa uwe na msimamo na usibabaishwe na eeimu ama mshahara wa mke; huu ndio uanaume.Ukiona mtu anamtanguliza mungu, jua thinking capacity yake imegota. Unadhani mwenye hofu ya mungu huwa hana ubinadamu ni malaika? Ndoa ngapi za walokole zipo chali? By the way sitafuti umaarufu hapa ila najieleza wala mimi siyo lecturer wako ati ukubaliane na niyasemayo ili nikitoa end of semester exam upate A. Ni majadiliano tu
Nani mwanaume sasa jombaa!!Hili neno 'my' sio sahihi kutumiwa na mwanaume
Usijali mwamba...hauko peke yako unaeniona mimi ni mwanaume jombaa...sijui ni jinsi mwandiko wangu unavyokaa sa ingine😅😅😅..wakati mwingine nafurahi kuona watu wakipata utata juu ya jinsia yangu😊😊safi sana🧚♀️🧚♀️🧚♀️🥂🥂🥂Nisamehewe bure
Chakorii nisamehe kwa ukurupukaji wangu
Huwezi kuchora graph na points chini ya tatu maana ukiwa na mbili, waweza kudhani ni straight line wakati ni parabola. Unaanzisha ligi ambayo huwa siipendi! Hivi unadhani waweze kuitathimini ndoa kwa kuwaona mitaani wanandoa? Kuna uzi wa open kitchen unatembea ndilo jibu la swali lakoEti mwenye hofu ya mungu thinking capacity yake imegota! Kama huna reference ya kitu no bora ukae kimya maana Unaweza jivua nguo hadharani. Reference yangu ni ya mwanamke ambae sasa anachukua doctorate na mshahara wake ni over 40M kwa mwezi na ana heshima kwa mwanaume amabe ana kadigri kamoja na mshahara wa 5M. Asikwambie kitu mwanaume inatakiwa uwe na msimamo na usibabaishwe na eeimu ama mshahara wa mke; huu ndio uanaume.
😅😅😅maskinii mkaka wa watu🤣🤣🤣anajua mi njemba mwenzie🤩🤩🤩safi sana
Nani refer mwenyewe FYIHuwezi kuchora graph na points chini ya tatu maana ukiwa na mbili, waweza kudhani ni straight line wakati ni parabola. Unaanzisha ligi ambayo huwa siipendi! Hivi unadhani waweze kuitathimini ndoa kwa kuwaona mitaani wanandoa? Kuna uzi wa open kitchen unatembea ndilo jibu la swali lako
Hata picha ameshindwa angalia?maskinii mkaka wa watu
anajua mi njemba mwenzie
safi sana
Ni kweli ndivyo tulivyoSema wanaume ambao hawajasoma tatizo lao liko hapo.
Hata arguments zao zinakuwaga za hovyo Sana halafu Mara nyingi wanashikilia Hilo la kutokusoma,mkikorofishana tu kidogo anachukulia kutokusoma kwake kama silaha yaani hata Kama mambo hayana uhusiano kabisa na shule yeye anaingiza St 7 Yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa picha ni ngumu kumgundua mtu maana wengi wameweka picha za akina dada lkni ni wanaume Saint Anne wangu.