Kumuacha Idd Amin dada afe kifo cha asili tulifanya mfano mbaya sana kwa madikteta

Kwahiyo Uganda hawakutuchokoza kwa kuivamia Kagera?
 
usijali huyu tutamchapa sanaaa au tumfunge dumu la petrol eeeeeh
 
Hawa wote walikuwa madikteta wakitofautiana styles
Mpaka sasa hakuna sababu makini ya vile vita, ndio maana hata walio take over akina M7 na PK bado wana u Dictator
Hivi Idd Amin ana tofauti gani na M7 au PK ?? na wote walikuwa trained hapa kwetu

Achana na Idd Amin ambaye ameishakufa jee M7 na PK nao wafanywe nini ????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…