Kumuacha binti kisa analazimisha ndoa

Kumuacha binti kisa analazimisha ndoa

Kama umemuonja kwa miaka mitatu. Huyo Binti yupo sahihi kudai Ndoa.

Kwa sheria za kimahakama, ukiishi nae binti kwa miaka miwili tayari anatambulika kuwa ni mke. Hivyo anastahiki kudai uthibitisho wa Ndoa.

Na sio lazima mfanye sherehe, mnaweza kuwa na mashahidi/ ndugu wachache tu na Ndoa ikafungwa bila mbwembwe.
 
Naelewa mkuu me ndo maana napata ugumu nikisema tuachane alafu nianze kwingine upyaa ntakutana na vimeo buree
What you are trying to say ni very normal kwa wanaume wengi especially Bad Boys.

The commitment fever is real. But waangalie Bad boys wengi wakioa wanavyokuja kutulia na familia zao na kuzipenda.

Because wanaona kuruka ruka na wanawake tofauti does not really make sense. You can make your own little heaven at home with ypur little babies.
 
Miaka mitatu ni mingi..ana haki kukuuliza hivyo maana na yeye anawaza mbeleni itakuaje na hamna kinachoendelea. Kama unajua hutaishi nae muambie mapema ili msipotezeane muda.
 
In

Inaweza kuwa miaka mitatu ila distance relationship.
Long distance relationship ni ngumu aisee, inataka moyo, tena hata kama ni LD relationship pia lazma muwe mmejuana bhana, huo mda ni mrefu. Maana ikiwa ni hivyo basi mnaweza wekana hata miaka sita bila kuoana mkisingizia LD relationship. Mda unasonga...
 
What you are trying to say ni very normal kwa wanaume wengi especially Bad Boys.

The commitment fever is real. But waangalie Bad boys wengi wakioa wanavyokuja kutulia na familia zao na kuzipenda.

Because wanaona kuruka ruka na wanawake tofauti does not really make sense. You can make your own little heaven at home with ypur little babies.
Kweli mkuu... Family ndo kila kitu
 
Long distance relationship ni ngumu aisee, inataka moyo, tena hata kama ni LD relationship pia lazma muwe mmejuana bhana, huo mda ni mrefu. Maana ikiwa ni hivyo basi mnaweza wekana hata miaka sita bila kuoana mkisingizia LD relationship. Mda unasonga...
Long distance ni kisanga japo Changamoto ni uwezo wa kipesa kufanilisha masuala ya mahari na kila kitu...
 
Long distance ni kisanga japo Changamoto ni uwezo wa kipesa kufanilisha masuala ya mahari na kila kitu...
Utawalipa baadaye kama vipi, ama kama hawataki waachie mwana wao. Mambo ni mawili. Waambie huna hela lakini wataka mtoto wao, kama wana mind hela sana, ushapata jibu la kumpa huyo Totoz wako 😂
 
Wewe tatizo lako huna gharama za kufanya sherehe kubwa.Kwahio ongea na mwenza wako mpange namna ya kua na harusi ndogo ya imani yenu.
Kuhusu mahari mwambie awaambie kwao hali yako so wapange mahari ya kawaida.
Simple tu msicomplicate mambo huenda ndoa yenu ikaleta baraka nyingi.
 
Katika maisha ya mahusiano ya Kijana kuna changamoto nyingi sana lakini Kiukweli kudate na Binti ambae anahitaji sana ndoa ni shida sana sijui kama ni sahihi Kumuacha Binti uliedumu nae karibu miaka 3 kisa tu anakomaa mfunge ndoa na kumtolea mahari wakati wewe haupo tayari..?????View attachment 1934933
Gran P wa bongo,mbeba sumu wa ccm
 
Miaka mitatu ni mingi sana inabidi ujitahidi ufunge ndoa na siyo kumpotezea muda wake.
 
Wakristo na hasa madhehebu ya kipentekosti hufanya ndoa kuwa ngumu Sana kwa sababu ya harusi.

Cha msingi huyu mwenzako mkubaliane kuwa kutakuwa na ndoa bila harusi (kitu ambacho wasichana wengi huwa hawataki kusikia)

Akikubali inakuwa rahisi kuwashawishi wazazi wake.

Mi nina mchumba kwa mwaka mmoja sasa. Nikawa namwambia jinsi mambo yalivyo magumu.
Akawaambia wazazi wake Hali yangu kiuchumi. Nikatuma mshenga na kupangiwa mahari simple tu.

Nikamwambia kuwa nikitoa mahari tutafunga ndoa ya serikali au Kama ni kanisani hakuna sherehe. Akanikubalia ya serikali.

Wazazi wake ikabidi wakubali tu maana hakuna namna na watu tunapendana na wakahofia Nisije nikamdunga mimba na kumwacha.

Ndg zangu walikuja juu wanataka harusi. Nikawaambia anayetaka niweke harusi agharamie mie niserebuke tu. Sina hela ya sherehe. Wote wakanywea.

Wiki lijalo naenda kutoa mahari robo 3 tu ya niliyopangiwa. After a week nitakadhiwa mke wangu kabla ya kwenda bomani( tuna haraka maana shemeji yenu ameanza kutema tema mate. Mama anajua Ila baba hajui)

Kama kweli mnapendana hamtaachana kwa sababu Kama hiyo au iwayo yoyote.

All the best
 
Back
Top Bottom