Kumuacha binti kisa analazimisha ndoa

Kumuacha binti kisa analazimisha ndoa

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,170
Reaction score
43,976
Katika maisha ya mahusiano ya Kijana kuna changamoto nyingi sana lakini Kiukweli kudate na Binti ambaye anahitaji sana ndoa ni shida sana sijui kama ni sahihi Kumuacha Binti uliyedumu naye karibu miaka 3 kisa tu anakomaa mfunge ndoa na kumtolea mahari wakati wewe haupo tayari?
 
Umekaa nae miaka mitatu? Unatafuta nini cha zaidi? Huyo mwanamke ana haki
Maana anaona muda unaenda na hamna lolote.

Wenzako miaka miwili tu wameoa.. wewe mitatu unalialia. Kama huwezi mwambie mapema
 
Hiyo pisi hapo pichani iko bomba..😉

Turudi kwenye mada mkuu jihadhari na kurogwa..😅
 
Mkiachana basi itakuwa hiari yenyu kwani hiyo miaka mitatu mngekuwa mshajuana vizuri, ka mnawezana au la, sasa wewe wataka kusema bado hujamuelewa? [emoji23]
Namuelewa ni wife material ila ndoa mkuu michakato ni Mingi sana.. Ingekuwa ni shehee at least...
 
Rikiboy, huku KE sahi ati miaka mitatu unataka kumpiga chini, waallahi akienda kortini, mtagawanya mali yako 50/50 hata kama hujamuoa. That's how serious it is. Hakuna kupotezeana huku! 🤣 🤣 🤣
 
Umekaa nae miaka mitatu? Unatafuta nn cha zaid.? Huyo mwanamke ana haki
Maana anaona muda unaenda na hamna lolote.

Wenzako miaka miwili tu wameoa.. ww mitatu unalia lia. Kama huwez mwambie mapema
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Daah mkuu ulivyoiweka kama nimekosea sana
 
Rikiboy, huku KE sahi ati miaka mitatu unataka kumpiga chini, waallahi akienda kortini, mtagawanya mali yako 50/50 hata kama hujamuoa. That's how serious it is. Hakuna kupotezeana huku! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mkuu kwa hiyo mwanamke tu ndo anapotezewa muda???[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Namuelewa ni wife material ila ndoa mkuu michakato ni Mingi sana.. Ingekuwa ni shehee at least...
Mgeelewana hivyo tangu mlivyopatana, hata yeye angekuwa anajua yupo yupo tu, lakini hamkukubaliana hayo so wewe kubali yaishe. Mengine mwachie maulana!
 
Mgeelewana hivyo tangu mlivyopatana, hata yeye angekuwa anajua yupo yupo tu, lakini hamkukubaliana hayo so wewe kubali yaishe. Mengine mwachie maulana!
Mkuu tatizo wanawake hubadilika kimawazo sijui ni marafiki ndo wanawajaza ujinga[emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom