Kumuacha binti kisa analazimisha ndoa

Kumuacha binti kisa analazimisha ndoa

Ndo tatizo la kula kula kimasikhara.

Mwisho wa siku unaona why own a cow if I can get milk.

Hapo ndoa unaona itakubana *****
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787] Mkuu kiufupi vimeumana...
 
Hmmmmm.

Riki boy maisha ya kukula kula hapa na pale sio fresh.

Find a girl, settle down.

The only sense in this adult life is a family to come home to no matter how difficult life gets.
Naelewa mkuu me ndo maana napata ugumu nikisema tuachane alafu nianze kwingine upyaa ntakutana na vimeo buree
 
Back
Top Bottom