Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,162
- 9,886
Ukitaka kula sharti uliwe
Embu jaribu kwangu
invest what you are willing to lose
Embu jaribu kwangu
invest what you are willing to lose
Lol...sasa hapo ntakua nimeliwa ila sijalaUkitaka kula sharti uliwe
Embu jaribu kwangu
invest what you are willing to lose
Utakula Kwa mwengine
akili finyu hao, akitaka mkatie ticket sio kumpa nauli, tena utablokiwa hapo hapoHua nashangazwa sana na tabia ya wanaume wengi kuthubutu kutongoza wanawake mitandaoni kwa nia ya faragha hatimae wanaishia kuliwa tu pesa za nauli na makorokoro kibao bila hata kuwatia machoni. Aisee kwa mimi naona kumtumia PESA mwanamke wa mtandaoni ni sawa na kucheza BIKKO.
●Tutaendelea kupigwa pesa kipuuzi kwakushoboka kipuuzi na Profile picture..zisizo na reality
●hapa JF penyewe minjemba kibao imetapeliwa kwakushobokea DP za mamanzee..
Sent using Jamii Forums mobile app
ajali kazini, ila unaweza bahatisha nae huko aliko zimemfika mahala pake ukauwa tembo kwa ubuaSwala si nauli swala Vitamu utaishia kuviona kwenye picha na kulizwa umelizwa..au ndio ajali kwa kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mkono mrefu haung'atwi