Kumtongoza mwanamke asubuhi ni laana?

Kumtongoza mwanamke asubuhi ni laana?

Hakuna muda ila asubuhi mtu unaamka na mambo mengi kichwani afu ukutane na tongozo....huko ni kuharibiana siku, mbaya zaidi tongozo lenyewe ni "dada siku nyingi nakupenda ila naogopa kukuambia '
Kutongoza hakuna muda na wala ukitongoza asubuhi siyo tatizo ni sisi wenyewe tu jinsi tunavyolichukulia poleni
 
Hakuna wa kutongoxa ila wanaume tumeumbwa kutamani
 

Attachments

  • 1453145614730.jpg
    1453145614730.jpg
    61.9 KB · Views: 36
Jamani mimi nimesahau kutongoza..Nakumbuka kumshika mkono tu..
Siku hizi wanaprice tag wachunguzeni kwa makini usijichoshe kumpigia mbuzi gitaa,kupoteza mda wako(Asubuhi Mchana Jioni),at the end unapigwa kalenda au ngoja nikufikirie Duh!!...
 
Mkuu na Wale wanaowatafuna mahousegirl asubuhi baada ya mabosi kwenda kazini tunaita ile bahati ama nao ni mkosi
Hapo mi naona 50/50, house girl anakua katolewa ugwadu wa kufungiwa na boss. Ila Pia laana kwa kijana akifumwa na mwenye Nyumba
 
Hapo mi naona 50/50, house girl anakua katolewa ugwadu wa kufungiwa na boss. Ila Pia laana kwa kijana akifumwa na mwenye Nyumba
Kuna kitu niliuliza, mwenye kupata laana ni yupi kati ya mtongozaji na mtongozwaji?
 
Back
Top Bottom